cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,335
- 188,010
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa mweupe afu sio msafi. Kazi unayo.Chaa[emoji23]
G anatuharibia mtoto jamani.
Leo nilipanda na kaka ananukia huyo
Tulikuwa tunasubiri wote gari,ikachelewa sana,,ilivyofika tukapanda wote.
Mweupeee,msafiiiii
Mungu awabariki wanaume weupe wasafi.
Mnavutia kwa kweli.
Iwe kwa ke au me.