Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmmh wee ndo kupotea hivyoo??
Nkajisemea Dear kapata G wake, wameamua waka enjoy huko mbali
Katusahau na selfika [emoji23][emoji23][emoji23]
Heheehee niombee mama
Nimpate na mie wangu , nideke hadi raha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua nafuatilia zile tuzo jana, saidoo mzuri sema mfupi na umbo kidg. Ila vingne yuko fresh kwa matumizi ya binadamu.

Alipendezaaa
Kumbe wapenda warefu
Alipendeza sana halafu ana smile fulani nzuri .
 
Back
Top Bottom