Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Halafu mtoto akidondoka si atamwaga ubongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo kinapendeza.
Halafu mtoto akidondoka si atamwaga ubongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo kinapendeza.
Ata hivo mbona ni ndefu kabisaHapana
Sina mpango
Napambana na kipilipili changu
Japo naona hazikui
Sizihudumii vizuri[emoji19]View attachment 2656262
Poa kabisa huku hofu kwako tuNamba E ndiyooooo, Salama lakini?
TufupiH
Ata hivo mbona ni ndefu kabisa
Shkamoo BossFumbeni macho nipite
Yaani wewe Minguni lazima uendeMselfike
Haleluyah☺️Shkamoo Boss
Tajiri mwenzangu wa roho,mteule mwenzangu katika safari ya Mbinguni [emoji7]
Bado hujajibu shkamoo yangu😂😂😂Haleluyah☺️
Amina mtumishi🙏🙏Yaani wewe Minguni lazima uende
Huna mpinzani.
Uzuri tutakuwa wote.
Asante sana Boss.
Ngoja waje kumalizia tigo na halotel.
Marahaba mama JuniorBado hujajibu shkamoo yangu😂😂😂
Nikimpa mtu shkamoo,huwa napenda ajibu Marahaba hujambo?
Huyo Wige amevuruga mkeka hapo[emoji23][emoji23][emoji23]Marahaba mama Junior
Mdogo wangu wa ukweli
Nkamu wangu
Rafiki yake Wigelekelo
Shabiki mkubwa wa Liverpool
Bila shaka uko salama
Umependeza sana😍😂🔥🔥🔥🔥
Yaani nikikusa Mbinguni ntaandamanaTuendelee kuselfika
ITakuwa Nina pacha aisee kunarafikiyangu kanitumia picha ya dada mmoja hiv copyright nna mm sura yangu kamayake yaani 😀Umependeza sana😍😂🔥🔥🔥🔥
Eti Asha Ngeders😂😂
Nimecheka .
Kuna dada unafanana naye sana
Ngoja nikutafutie picha yake nikuonyeshe