Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,228
- 183,082
Khakhakhaaaa!!!Yaani Facebook ukiingia andaa mbavu zako
Mwingine anasema Juma Juma Juma
Nimekuita mara 3[emoji23]
Khakhakhaaaa!!!Yaani Facebook ukiingia andaa mbavu zako
Mwingine anasema Juma Juma Juma
Nimekuita mara 3[emoji23]
Naam wakati muafaka kabisa mnywani!!
Still cute... mambo ya twende kilioni mrembo 😘😘😘😘😘
Nimefumua weaving leo wamenikatajee nywele zangu mbelee kotree ! Yanii ni wamezipuruaa balaaa hata nikisuka sijui wataanzia wapi kuzishika!!Still cute... mambo ya twende kilioni mrembo 😘😘😘😘😘
Hukurudi salon kufumua dear? Pole ilitakiwa aliyekusuka akufumue, yeye anajua alipopitisha uzi na kusuka. Zitaota tu muda so mrefu mamiiTwende kilioni mode activated!!
Muwe na Usiku mwema wapendwa!!✌️✌️
First Lady Si wamenifumua veaving leo mbelee wamenikatajee nywele zangu hapa ni twende kilioni mpaka vikue kue
Wapii Mnyama mkareeeee
Haha Chino alikua bize anashangaa vitu vingine vizuri zaidi kuliko hata nywele mnywaniNimefumua weaving leo wamenikatajee nywele zangu mbelee kotree ! Yanii ni wamezipuruaa balaaa hata nikisuka sijui wataanzia wapi kuzishika!!
Hahahaaa...Akili zako sasa mnywanii akee lol!!!Haha Chino alikua bize anashangaa vitu vingine vizuri zaidi kuliko hata nywele mnywani
Nilisukia Nyakiboo dear saii niko naswampia kusini ya wapi sijui wamenifumua nyumbani tu!!Hukurudi salon kufumua dear? Pole ilitakiwa aliyekusuka akufumue, yeye anajua alipopitisha uzi na kusuka. Zitaota tu muda so mrefu mamii
Bize kuangalia rangi ya nabii yusuph;Hahahaaa...Akili zako sasa mnywanii akee lol!!!
Ulikua bize kuangalia komwe na chogo 🤣🤣🤣🤣🤣!
Chino Chino Chino ninekuita mara tatu ...!!Bize kuangalia rangi ya nabii yusuph;
Na bolibo za Tabora! hahaha
Bantu Lady Ni mnoma ila we Ni mnoma na nusu au nasema urongo mbantu
Kabisa Chino ake 😘😘😘 Tonnia, Tonnia haswaaa mrembo MashallahBize kuangalia rangi ya nabii yusuph;
Na bolibo za Tabora! hahaha
Bantu Lady Ni mnoma ila we Ni mnoma na nusu au nasema urongo mbantu
Niko poa, missed yah Aaliyyah😂😂😂Kumekucha
Uko poa lakin
Nakusubiria mizani tu hapa tinde! Ufungue kioo walau upunge mkono hahaChino Chino Chino ninekuita mara tatu ...!!
Wee tujazeee tyuuuu!!
Niwe Mrembo nitrambeee!! Acheni utanii... Mbantyuuuu namba😍 moko mpaka fiveee🤩🤩🤩Kabisa Chino ake 😘😘😘 Tonnia, Tonnia haswaaa mrembo Mashallah
Usijareee kabesaaa mnywanii wewe treinaaahhhh!!! Haina kubishaaa hiiooo☺️!Nakusubiria mizani tu hapa tinde! Ufungue kioo walau upunge mkono haha
Nimekusubiria wee uniletee huyu mchuchu nikae nae hata TTG korogwe pale umeniangusha mbantuKabisa Chino ake 😘😘😘 Tonnia, Tonnia haswaaa mrembo Mashallah
Na Mbantu Nawagawaa bureee mjueee naona Mnaniuza mchana kweupeeee 😊😂!!Nimekusubiria wee uniletee huyu mchuchu nikae nae hata TTG korogwe pale umeniangusha mbantu
Niko mashineni hapa na kuandalia mchele ukale na kina jr atiUsijareee kabesaaa mnywanii wewe treinaaahhhh!!! Haina kubishaaa hiiooo☺️!