Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

a3143f5d61fbcc433aaf8ae6b8755f8b.jpg
 
Wee ankoli twins wameondokaa?? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jamaniii kwann?? Sipati picha shangazi anajisikiaje??

Dada ang alipoteza kichanga cha mwezi m1, jamani hadi leo ana tatizo la pressure.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] huzunii jaman.
Wanawake inawasumbua sana hili jaribu .. ila fresh acha nianze kuandaa BAO la wanne ,๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
We auntie upo vizuri โ˜บ๏ธโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

Sema punguza chai ya rangi au una addiction ya maziwa โ˜•๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜œ
 
Nani yupo usiku huu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š au wote mmelaliana tuuu

Mwizi akivamia ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ.

Anyway tukutane kesho ratiba zinatofautiana sana ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ˜Ž
 
Back
Top Bottom