Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,767
- 58,336
Humu hatujuani ukute hao hao wanao jikuta wanakashifu wenzao ndo hao hao wa mtaa ..Kweli Kabisa auntie usipoanikwa lazima udhalilishwe kwa namna fulani hivi na mie sipendagi dharauuu kabessaaa!
Acha nikomae na kina Bakari tyuu....kwa sauti ya Aaliyyah
Kuna mambo humu wee acha tuu maigizo mengi sana