Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,486
Na wew ukamuacha tu ungemkimbiza bhana😀😀tumekumiss dear umepotea sanaWifii yangu mrembo nimekumiss😍
Ulijua kweli kupotea jamani hope kila kitu kipo sawa
Ndugu yako alinikimbia🥺
Na wew ukamuacha tu ungemkimbiza bhana😀😀tumekumiss dear umepotea sanaWifii yangu mrembo nimekumiss😍
Ulijua kweli kupotea jamani hope kila kitu kipo sawa
Ndugu yako alinikimbia🥺
😅😅 kwa mbio alizo kuwa nazo nisingeweza kumkimbiza 😅Na wew ukamuacha tu ungemkimbiza bhana😀😀tumekumiss dear umepotea sana
Unavua viatu unashika mkononi😂😂😂😂angesimama mwenyew 😂😅😅 kwa mbio alizo kuwa nazo nisingeweza kumkimbiza 😅
Nipo Aunt uko poa?
Ningejua mapema ninge kutafuta unipe hii mbinu😅😅😅Unavua viatu unashika mkononi😂😂😂😂angesimama mwenyew 😂
Mm Niko poa Alhamdulillah Mungu anasaidia
Yaani ungewahi mbona angapatikana huyo aunt😀Ningejua mapema ninge kutafuta unipe hii mbinu😅😅😅
Niliogopa kuvunjika🥺😀
Mnaochukua Screenshot mchukue haraka maana baada ya masaa 24 ntaitoa.
Ukifanya hivo nami kama shabiki yako mwandamizi nipo pembeni yako niki kusindikiza mkuuNimekaa nikawaza kwanini member wa JF wanaogopa jipost Sura? Je wanadaiwa? Je kuna Mtu ana shida nao? sipatagi majibu kwanini wanachama wa JF ni waoga.
Leo ngoja nimwage mchele,wasionijua wanijue na wanaonitafuta wajue basi ndio mimi wanaemtafuta natumia ID ya CONTROLA.
Tayari ameshatupia haya nawe msindikize mkuu karibuni sana Selfika!!Ukifanya hivo nami kama shabiki yako mwandamizi nipo pembeni yako niki kusindikiza mkuu
Sawa bossTayari Controla ameshatupia haya nawe msindikize mkuu karibuni sana Selfika!!
Karibu sana Selfika mkuu nawe mgeni utupiee 🤳Maneni yamekuwa mengi, tupieni picha
Tunasubiria mkuu usituangushe!🙇Sawa boss
Asanteeeee.. mwanzo ndio ulikua unatumia I'd ganii vilee??
Hahaha! ngoja niibuke pm nikung'ate sikioAsanteeeee.. mwanzo ndio ulikua unatumia I'd ganii vilee??
Santo sana kutubless mkuu karibu sana Selfika
Hahahaaa.... !Hahaha! ngoja niibuke pm nikung'ate sikio
Hii kiselfika tunaita Naked kweri kweriiii!!
Sema nitaiondoa muda si mrefuHii tunaira Naked kweri kweriiii!!
Mahondaw Nibariki na ya kwako pm tafadhaliHii kiselfika tunaita Naked kweri kweriiii!!
Mambo yote hapahapaa mkuu Usijareee kabisa!!Mahondaw Nibariki na ya kwako pm tafadhali