cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,062
Duuuh ngoja nijaribu basJaribu uone , nilikuwa naona uvivu wa kutumia web , sasa hivi nishaizoea .
Duuuh ngoja nijaribu basJaribu uone , nilikuwa naona uvivu wa kutumia web , sasa hivi nishaizoea .
C ndo G dear, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushawahi kuwa na soulmate ???
Kheeeeh kumbe dada ako ndo alinipokea Jimbo,Mim huyo ni mchumba wa dada angu sa sijui itakuaje [emoji16][emoji16]
Uliandika wee mwenyewe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weeee..
Subutuuuu.....
Hiyo taraka kaandika nani??
Huna habari?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulikua mtu 2 tunagombania, nkaona sio case mie nkajiacha zanguu..Since when who which weee Mbona gafla sana [emoji16][emoji16][emoji23]!
Vyema sana dearC ndo G dear, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thanks Saint Anne, nitajaribu kwa nafasi yangu. I mean no malice to nobodyIntelligent businessman nadhani atafaa zaidi ukizingatia ana updates za jamaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vyema sana dear
Ushadefend nn ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapanaa.Ushadefend nn ??
Mnachelewa eeh ??Hapanaa.
Kwann dearMnachelewa eeh ??
All the best kwa project yako .
Sema bado mapemaKwann dear
Eeh huyo huyoKheeeeh kumbe dada ako ndo alinipokea Jimbo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miss u wifi angu au ushapata mwingine jmn 😁☺️Kwasasa sina nikipiga nitatupia
😅😅😅😅😅 Daaah kwa kweli shida nipo rough sana ukiona chumba changu unawez kimbia 🙁😊☺️☺️☺️☺️☺️.Wee aunt Uzipunguzeee uzishevu vizuri nawee!!
Wifii yangu mrembo nimekumiss😍Miss u wifi angu au ushapata mwingine jmn 😁☺️
Mremboo
Na wew ukamuacha tu ungemkimbiza bhana😀😀tumekumiss dear umepotea sanaWifii yangu mrembo nimekumiss😍
Ulijua kweli kupotea jamani hope kila kitu kipo sawa
Ndugu yako alinikimbia🥺