Knight rider
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 456
- 688
Haya tupia basi nipo hapa nasubiri boss
Mwehh nina hata pichaa sasa hahaha.. nikipiga ntakuita mkuu UsijareeeHaya tupia basi nipo hapa nasubiri boss
Sema kweliMwehh nina hata pichaa sasa hahaha.. nikipigwa ntakuita mkuu Usijareee
Uchoyo huoMwehh nina hata pichaa sasa hahaha.. nikipigwa ntakuita mkuu Usijareee
Kweli tena mkuu wee kaa standby tu!Sema kweli
Sawa mkuuKweli tena mkuu wee kaa standby tu!
Mkuu mie humu natupia 🤳🤳 kama zoutreeee wee tulia tyuuu utafurahi mwenyewe mbona!!Uchoyo huo
sawa mkuu mimi ni nani hadi nikupingeMkuu mie humu natupiakama zoutreeee wee tulia tyuuu utafurahi mwenyewe mbona!!
Ngoja nimalizie kazi moja hapaaa ntakuita kabisa!☺️sawa mkuu mimi ni nani hadi nikupinge
Cheers!Ngoja nimalizie kazi moja hapaaa ntakuita kabisa!![]()
🥂Cheers!
Hujambo
Sijambo mzeiya wa Hall 5 samaleko!Hujambo
Nimepitwa sana aiseeHii kiselfika tunaita Naked kweri kweriiii!!
Hii wapi bruh ni kibosho marangu au machame 😃
Mie Sijatupia dear waliweka wageni!Nimepitwa sana aisee
Mzima lkn
Hujambo....!!Nimepitwa sana aisee
Mzima lkn
Sijambo mamboHujambo....!!