Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa Liverpool
Mwenza wangu cocastic shabiki gwiji wa Manchester City tunacharuana kweli ikicheza Man City na Liver ila akifungwa ananunaaaa hata salamu hatoi[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu sema kwelii mwenzaaa, wee ndo liver yako ikifungwa hunipi huduma na stahiki zangu.
 
Bila samahani mkuu, tumeanza maisha mapyaaa mkuu.. wanasema bwana alitoa na bwana alitwaa. Kwema lakini
Wee ankoli twins wameondokaa?? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jamaniii kwann?? Sipati picha shangazi anajisikiaje??

Dada ang alipoteza kichanga cha mwezi m1, jamani hadi leo ana tatizo la pressure.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] huzunii jaman.
 
Mambo mengine unayakubali ili upone, ila kama unawaza sana inauma sana. Mie jumapili nimepoteza wangu wawili, jumatatu nikapoteza mmoja wa kaka yangu ambae wife wake alikuwa kwangu.. ila yote yamepita.. tumeaanza maisha mapyaaa naumia Kwa huruma Kwa mke wangu ndio Ina mtesa zaidi
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Poleeee sanaa ankolii.
Wee unajikaza, namuwazia mkeo jaman sijui ataweza vipi kustahimili.
 
Mambo mengine unayakubali ili upone, ila kama unawaza sana inauma sana. Mie jumapili nimepoteza wangu wawili, jumatatu nikapoteza mmoja wa kaka yangu ambae wife wake alikuwa kwangu.. ila yote yamepita.. tumeaanza maisha mapyaaa naumia Kwa huruma Kwa mke wangu ndio Ina mtesa zaidi
Pole sana National Anthem 😔😔
Wapumzike salama malaika!
 
Sisi ni nyota zilizofunikwa kwenye ngozi. Nuru unayotafuta imekuwa ndani mwetu muda wote

Black is beauty[emoji173][emoji173][emoji173]
FB_IMG_1683770559485.jpg
 
Back
Top Bottom