Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naomba nikopeshe nyekundu moja babu kijana😬
Sema Babu mjukuu, ungejua ninavyoutamani huo ujana we acha tu. Yaani pamoja na kupaka Piko ya hela nyingi kichwani lakini mvi bado tu haziniishi Babu yenu 🤪🏃🏃🏃


Kuhusu nyekundu moja, Ngoja nilipe mkopo chefuchefu wa Benki niliokopea mbolea then ikibaki utapata Mjukuu 🤗
 
Back
Top Bottom