Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Carrasco putinn anahangaika na mashangazi , usiwaze just go for it .Nataka niongeze wawili wawe wanne ila mdogo wangu Carrasco putinn ananikatisha tamaa kila kukicha anaomba nyimbo ya kuachwa.......... na hofu hadi nyimbo zote zitaisha 😁
Maisha yenyewe ndo haya haya ,enjoy .