Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umenichekesha huku jamani

Wengi hata huwa hawamaanishi; anakuja kupima tu kama anaweza kupasha kiporo or not. Utaona kabisa amerudi; ila hana jipya la maana

Plus mtu aliyekuacha akaenda huko kwingine ndiyo akaamue akurudie; inawezekana wala hata hajajifunza lolote; anatafuta tu pa kukimbilia kwa muda na wewe ndiyo boya wake; possibly kakosa kwingine pa kukimbilia. Kwa nini asirudi kwako akiwa bado hajatendwa huko nje? Ni kama wale tu wanaume wanaowakimbiaga wake zao mambo yakiwa mazuri; anakuja kurudi uzeeni amechoka, apeche alolo. Utasema amerudi kwa mkewe kwa sababu amegundua makosa yake na bado anampenda?
Wasipo elewaaa hapaaaaa, hawataelewaaa tenaaaaaa!!!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana nilisema wengi sio wote. I didn't generalise. There is always an exception.

Plus amerudi na nini haswa cha kukufanya uone kweli huyu mtu amejifunza kitu huko nje na anamaanisha kweli? Sio mbambamba zilezile za zamani afu anajifanya ooh wewe ndiyo mke wangu, nimerudi. Maana na sisi ukiitwa tu "mke wangu" unajiona tayari mbele za baba Paroko. Utalia tena kama Kajala
nachekaaaaa km chiziiii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeh wawe makini; sio kila anayesema amerudi kwako anamaanisha. Kuna wale unakuta amekuacha afu kaenda kuoa kwingine. Mara anaanza kukutafuta anajifanya anajutia kwa nini hakukuoa; ndoa yake ina changamoto nyenyenye. Wewe kwa ujinga wako unahisi eeh kweli ananipenda jamani, amerudi; unajidowngrade kutoka ex main chick to mchepuko. Ukija kushtuka manyoyaaa, mwenzio anasherehekea anniversaries zake na familia yake
Waambieeeeeeeeeeeew hawaaaaaa,

Mama maleziiiii madini nayochukuaga kwakoooo, kuna mtu anasemaga "wee kichaaa bora usingesomaaaa na kuwa na Elimu unasumbuaaa sanaaaaa"

Waleteeeeeeeeeeeeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom