Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pia mda unaweza kuwa mrefu na umewekeza ila je ni mtu wako ali kusudiwa kuna mahala tunawekeza tukihisi sahihi ila kumbe sio.. nilishawekeza mahala na kulipa ada juu na kwao walikuwa wananijua na nikaachwa nikaanza kulaani wapi, mtoto wa watu aliolewa na mtu mwenye hadhi ya juu , dua zote zilipiha mwamba 🤣🤣🤣🤣🤣 na sasa hivi wanaishi vizuri na siku ya harusi yangu walikuja na Mr wake .. watu tunakimbilia kuumia bila kuangalia upande mwingine na kupata tafsiri , unaweza ukawa unaachwa kwasababu una matatizo ambayo hujaona kuwa ni matatizo na unaweza kuachwa kwasababu Mungu hataki uolewe na huyo mtu na unaweza achwa unalogwaa kama Depal 🤣🤣🤣 case zipo nyingi.. nililipa ada miaka mitatu ila chari na laana zangu hazikufanya kazi 🤣😃
Abeee 😂😂
 
Mimi nikiona mtu haeleweki namuuliza mapema
Kwanza hekaheka zangu duh!
Mapema sana ntamchosha.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kama ni wako ni wako tu hata azunguke dunia nzima still kuna ile roho fulani hivi
Ndiomana wengine wanazungukaa weee na yanawashinda huko badae anajutia ujinga aloufanya Huku unamcheka tyu nhihihi 😁
 
Pia mda unaweza kuwa mrefu na umewekeza ila je ni mtu wako ali kusudiwa kuna mahala tunawekeza tukihisi sahihi ila kumbe sio.. nilishawekeza mahala na kulipa ada juu na kwao walikuwa wananijua na nikaachwa nikaanza kulaani wapi, mtoto wa watu aliolewa na mtu mwenye hadhi ya juu , dua zote zilipiha mwamba na sasa hivi wanaishi vizuri na siku ya harusi yangu walikuja na Mr wake .. watu tunakimbilia kuumia bila kuangalia upande mwingine na kupata tafsiri , unaweza ukawa unaachwa kwasababu una matatizo ambayo hujaona kuwa ni matatizo na unaweza kuachwa kwasababu Mungu hataki uolewe na huyo mtu na unaweza achwa unalogwaa kama Depal case zipo nyingi.. nililipa ada miaka mitatu ila chari na laana zangu hazikufanya kazi

Labda kama Mungu ameamua hayo mahusiano yavunjike
Ila vinginevyo aiseee atavuna alichopanda huyo mwamba
Screenshot_20221214-225959.jpg

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nikiona mtu haeleweki namuuliza mapema
Kwanza hekaheka zangu duh!
Mapema sana ntamchosha.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hakuna haja ya kuulizaaa unajiongeza kiutu uzima bila makelele wala fujo!! Mwenyewe kama ana akili timamub nafsi itamsuta ukute Akili kama za mjomba National Anthem sasa🤣🤣utajutraaa
 
Kama ni wako ni wako tu hata azunguke dunia nzima still kuna ile roho fulani hivi
Ndiomana wengine wanazungukaa weee na yanawashinda huko badae anajutia ujinga aloufanya Huku unamcheka tyu nhihihi
Azunguke dunia nzima afu arudi anikute nipo hapo hapo na nimpokee?
Labda km siyo Mimi.

Ni kusonga mbele kama injili,hata dakika 3 tu zikipita,akigeuza kurudi anakuta nishatembea mbele.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Labda kama Mungu ameamua hayo mahusiano yavunjike
Ila vinginevyo aiseee atavuna alichopanda huyo mwambaView attachment 2448820

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ukisikia dua ya kuku haimpati mwee ndio hizo 😅😅😅 kwanza karma inakugomea mlikuwa mna zini wote wadhambi, bora mmeachana msiendelee kufanya dhambi.. karma inafanya kwa walio kuwa ordained na Mungu au walio na ndoa.. ila tunao okotana huku chapa ilale
 
Kama ni wako ni wako tu hata azunguke dunia nzima still kuna ile roho fulani hivi
Ndiomana wengine wanazungukaa weee na yanawashinda huko badae anajutia ujinga aloufanya Huku unamcheka tyu nhihihi 😁
Uongoo
Hiyo ni uongooo

Tunajirarijigi tu
Unakuta unamtext anakujibu
Haimaanishi anakukumbuka 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom