Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Aisee shem 🤣🤣🤣🤣Muweke wakuibie bwana wako uandae makala ya uzi mrefu kama ujauzito wa mapacha [emoji41][emoji41]
Aisee shem 🤣🤣🤣🤣Muweke wakuibie bwana wako uandae makala ya uzi mrefu kama ujauzito wa mapacha [emoji41][emoji41]
😂😂😂Kumbe humu watu wanaibiana 😂😂Muweke wakuibie bwana wako uandae makala ya uzi mrefu kama ujauzito wa mapacha [emoji41][emoji41]
Mara wa Tisakaukalie sasa [emoji28][emoji28][emoji28]
Shemeji languNa picha
Hawana gharama haoNjoo naye shem
Useme kabisa anapendelea msosi gani niwaandalie
Nae utaanzaMniandalie maembe jamanii
my sweetpiee jeeeshiiiiii The one and only beibeee[emoji177][emoji177][emoji177][emoji177][emoji177]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzio nipo juu ya salio, yaan bundle la nyongezaaaa.Waletreeeeeeee.... acha tubadili radha hukooo!![emoji23][emoji23]
ushukuru ulikwanguliwaaa mwanzo mwanzoo[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear hivi ni kweli umeumizwaaa au unatu enjoy hapaa?Nilifeli aisee nilidumbukia miguu yote sema mimi siwezi danganya ndo manaa ... Sijui ilikuwaje nikawa na karoho hiki .
We ni MsafwaWaaah[emoji119]
Asantee MUNGU jioni imefika
LolView attachment 2449176
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee nae unaingia miguu yote, akili iko mikononi hapooo tyuuh.wafundishe [emoji28][emoji28]... ila mbona mie naingiaga miguu yote na sipatwi na kitu.. shida kuhisi unakufa nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikuacha km cancer taratibu taratibu afu kimya kimyaa. KhaaaaaahKimya kimya inaitwa
Utajijua mwenyewe hahhaa
Sasa watu wanakataaa uongoooo, tatizo udanganyifu hapo tyuuh!![emoji28][emoji28][emoji28] mtu hamjazaliwa pamoja, mmekutana ukubwani huko mna age ya utu uzima, mtu hujui background yake, hujui walio wekeza kwake.. leo unataka ufe nae ..hapo hata karma inakugomea tu.. kama mmekua toka utotoni kama mapenzi ya kikorea hapo sawa, ila mmekutana mna miaka ya ukubwani hamjadumu hata miezi misaba unaliaaa.. ujue kuna something wrong .. Pole kwa wanao umia kwakweli
Nachekaaaa km chiziiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamjadumu hata miezi 7 unaliaaa ujue something wrong[emoji1787][emoji1787][emoji1787]