Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,221
Jeshini mjomba mazoeziiii๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐๐๐!!Shangazi mbona umepunguza mwili ๐๐๐.. unafanya zoezi gani.. hapo umekuwa ndio unanoga sasa.. ebu nyuma tuone
Jeshini mjomba mazoeziiii๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐๐๐!!Shangazi mbona umepunguza mwili ๐๐๐.. unafanya zoezi gani.. hapo umekuwa ndio unanoga sasa.. ebu nyuma tuone
Si anataka kunisamilia aje haina shida atanikuta!! WigelekeloUnamtisha afisa kipenyo wa mabaka mabaka, anaweza watoa hapo kambini kwa simj moja tu ๐ ๐ ๐
๐๐๐ Safi kabisa kama hivyo umekuwa kama kigori, kumbe shangazi ๐Jeshini mjomba mazoeziiii๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐๐๐๐!!
Awe na TakoWeka vigezo, inawezekana yumo humu
๐ ๐ ๐ msalimiane vizuri basi sio vibaya vibaya wote mtoke mioyo safi na myeupeeSi anataka kunisamilia aje haina shida atanikuta!! Wigelekelo
Nipo Mbeya mamaa pasta Nataka kuhamia huku Wilaya gani imetulia haina fujo??Ahsante boss lady,![]()
๐ ๐ ๐ msalimiane vizuri basi sio vibaya vibaya wote mtoke mioyo safi na myeupee
Aje nyumbani atanikuta Nimempa location Hapo!๐ ๐ ๐ msalimiane vizuri basi sio vibaya vibaya wote mtoke mioyo safi na myeupee
umekuja mbeya kimya shangazi nipo hapa mwezi wa tatu, tusalimiane basiNipo Mbeya mamaa pasta Nataka kuhamia huku Wilaya gani haina fujo??
Time heals. Forgive him and forgive yourself. Usijilaumu sana; watu wengine huwa wanapita kwenye maisha yetu kutufundisha tu vitu fulani; he served his purpose well; let him go in peace. Don't curse him, don't wish bad/ evil on him. Usikate tamaa ya kupenda; kuna siku utampenda atakayekupenda. You are what you choose to become; not what has happened to you; don't dwell in your past please.Thank you sis
Kakake una hatariAwe na Tako
Ajue kuifinyia
Awe mtundu wa Koni
Awe mweupe na kadha wa kadhaa
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
uende akufundishe sasa mambo mazuri kama hayo ๐๐Kakake una hatari
Ndiyo maana nilisema wengi sio wote. I didn't generalise. There is always an exception.
Plus amerudi na nini haswa cha kukufanya uone kweli huyu mtu amejifunza kitu huko nje na anamaanisha kweli? Sio mbambamba zilezile za zamani afu anajifanya ooh wewe ndiyo mke wangu, nimerudi. Manaa na sisi ukiitwa tu "mke wangu" unajiona tayari mbele za baba Paroko. Utalia tena kama Kajala


Eeh wawe makini; sio kila anayesema amerudi kwako anamaanisha. Kuna wale unakuta amekuacha afu kaenda kuoa kwingine. Mara anaanza kukutafuta anajifanya anajutia kwa nini hakukuoa; ndoa yake ina changamoto nyenyenye. Wewe kwa ujinga wako unahisi eeh kweli ananipenda jamani, amerudi; unajidowngrade kutoka ex main chick to mchepuko. Ukija kushtuka manyoyaaa, mwenzio anasherehekea anniversaries zake na familia yakeHapo unawaambia nini hawa wadogo.. maana hayana formula .. isipokuwa kuna ishara
Aaaah sikuamini wewe kama unataka kuhamia kwetu kweli. Vipi unaenjoy lakini jijini kwetu?Aje nyumbani atanikuta Nimempa location Hapo!
Kaka angu hawezi nifundisha hayouende akufundishe sasa mambo mazuri kama hayo ๐๐
SijipendiUlitaka kunisalimia njoo huku kwenye kambi ya Jeshi Mbalizi tuselfike!!
kwa sehemu kubwa misingi mibovu. Pia watu sio wawazi, watu siku hizi viburi sio wasikilizaji wajuaji ..Eeh wawe makini; sio kila anayesema amerudi kwako anamaanisha. Kuna wale unakuta amekuacha afu kaenda kuoa kwingine. Mara anaanza kukutafuta anajifanya anajutia kwa nini hakukuoa; ndoa yake ina changamoto nyenyenye. Wewe kwa ujinga wako unahisi eeh kweli ananipenda jamani, amerudi; unajidowngrade kutoka ex main chick to mchepuko. Ukija kushtuka manyoyaaa, mwenzio anasherehekea anniversaries zake na familia yake
ThobotooSi anataka kunisamilia aje haina shida atanikuta!! Wigelekelo