Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
mambo vp chief
mambo vp chief
mtundu kitandani au?Hahha nimecheka kwa sauti
Thank you Anne jmani
Mie sie cha upole kihivyo , ni mtundu kidogo.
Asante sana lovely sis
Shikamoo kakamtundu kitandani au?
Amen ...Muamke mkasali jumuia, na wengine mkasali sabato
Msisahau kutuombea sisi wakosefu
sawaAmen ...
Tuombe kila wakati
Waefeso 6:18
Shikamoo yangu huijaitikia kakasawa
wapi? Mambo ya kuamkiana ya kizee hayo binti,kwan unataka kuninyima nnShikamoo yangu huijaitikia kaka
Hahha sina cha kukunyima lolwapi? Mambo ya kuamkiana ya kizee hayo binti,kwan unataka kuninyima nn
humu hakuna mtoto,wote wakubwa rafikiHahha sina cha kukunyima lol
Sasa wewe mkubwa bhana .
mmh,hebu ngoja kwanzaShikamoo kaka
Huko sina nilijualo mshamba mie hahaha halafu siwezi mambo ya kufundwa basi nipo nipo tu mie .
Okay , rafiki .humu hakuna mtoto,wote wakubwa rafiki
Hahha haya nakusubirimmh,hebu ngoja kwanza
selfika basiOkay , rafiki .
Sina picha hata mojaselfika basi
huwezi kukosa picha,sema labda hutakiSina picha hata moja
Tukuone wewe kwanza hata saa lol
Ni kweli jamanihuwezi kukosa picha,sema labda hutaki