Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
😅😅😅 mtu hamjazaliwa pamoja, mmekutana ukubwani huko mna age ya utu uzima, mtu hujui background yake, hujui walio wekeza kwake.. leo unataka ufe nae ..hapo hata karma inakugomea
Hamjadumu hata miezi 7 unaliaaa ujue something wrong🤣🤣🤣Mtu.. kama mmekua toka utotoni kama mapenzi ya kikorea hapo sawa, ila mmekutana mna miaka ya ukubwani hamjadumu hata miezi misaba unaliaaa.. ujue kuna something wrong .. Pole kwa wanao umia kwakweli



