Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
πππππππ yan kila nikikuona napata kichekoWacha tucheke tuongeze siku za kuishi ππ
πππππππ yan kila nikikuona napata kichekoWacha tucheke tuongeze siku za kuishi ππ
Ukimkuta wa hivo mtupie jini
Unampotezea tyu atajua mwenyewe kila mmoja na maisha yake!Ukimkuta wa hivo mtupie jini
Kagonga mwamba, uende umchukue mtoto umlete nitampeleka shopping mwenyewe achague zawadi alafu umrudishe kwa mama yake ππKatika ubora wako....
Exactly.Muhimu kujipenda, kujiamini and to know you deserve better
DohEti eehh!! sawasawa!! nilikua sijui!!
Sasa mtu anasema alikuacha si aachane nawewe mazima Kwanini anakusumbua sumbuaa ??? Mtu anaonesha kujutia kabisa ilhali ishapita miaka kibao all these years wee umekaa tyu kwa ubaya ganii?? Kuna watu ni hawajielewi!
Afu mtu yeye ndio anakusumbua anenda kugeuza kibao etu wewe ndie unamsumbuaa khaaahh ni upuuzi!










Umekataa π€£π€£π€£Kuendekeza njaa ndio kunatufanya baadhi yetu tunagongwa kweri kweri!! Binafsi Nimekoma Mbona bora nipambane nahali yangu ila sio kudhalilishwa aiseeehhh!!π€£π€£π€£!!
Ufundi ni ujuzi wa kuishi na mwenza kwa usahihi na vile ipasavyo katika yote ndani ya nyumba
Wachaaa!
π€£π€£π€£π€£π€£!! Haina haja ya jini ni kufocus na mambo yako tyuuu!!Umekoma nn
Nani alikudhalilisha kisa njaa
Tumtupie jini
Usifanye hivyo banaKagonga mwamba, uende umchukue mtoto umlete nitampeleka shopping mwenyewe achague zawadi alafu umrudishe kwa mama yake ππ
Hujashiba tu??πππ Nogesha store kwanzaa basiiiUmekataa π€£π€£π€£
Unaachaje kwa mfano kufurahiaπππππππ yan kila nikikuona napata kicheko
Ndani ya nyumba?Ufundi ni ujuzi wa kuishi na mwenza kwa usahihi na vile ipasavyo katika yote ndani ya nyumba
Naomba hicho kijini nimtupie mtuUmekoma nn
Nani alikudhalilisha kisa njaa
Tumtupie jini
Njoo pm na afutatuNaomba hicho kijini nimtupie mtu
NdioSi mnakua mmeonjana wote mmepata utamuπ
π π π kanakupa mikakati mizuri, kumbe kanakuingiza kingi.. unashtuka kapo kuleeWachaaa!
Li zuri anayo sauti ya wizi?
Duh bhas kabarikiwa
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app