Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Weka full uliovaa nguo banaa pipe mpelekeee demu wakoo!!Bado nime lala shangazi utaona pipe bureeView attachment 2448924
Sharubuuu👌👌👌
Weka full uliovaa nguo banaa pipe mpelekeee demu wakoo!!Bado nime lala shangazi utaona pipe bureeView attachment 2448924
Ukitoka pita hapa 😊😊😊Ibada njema.
Mm nasubiri saa 10 ifike nichomoke shwaaaa.
Swaumu kali nimelegea Kama uji mwepesi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Huna maana wewe 😅😅😅Nimekublock? Hapana 😂 au la skumbuki
Bado Wigelekelo kutupiaa!!Bado nime lala shangazi utaona pipe bureeView attachment 2448924
Em niangalieHuna maana wewe 😅😅😅
Huyo nami nina hamu nae sana ya kumuonaBado Wigelekelo kutupiaa!!
Wabheja sana mjomba!
Amen amen!!It shall be well swts...........
Umenichekesha huku jamaniEti eehh!! sawasawa!! nilikua sijui!!
Sasa mtu anasema alikuacha si aachane nawewe mazima Kwanini anakusumbua sumbuaa ??? Mtu anaonesha kujutia kabisa ilhali ishapita miaka kibao all these years wee umekaa tyu kwa ubaya ganii?? Kuna watu ni hawajielewi!
Afu mtu yeye ndio anakusumbua anenda kugeuza kibao etu wewe ndie unamsumbuaa khaaahh ni upuuzi!
Usinikumbushe, nimeagiza wengine, kuna mgeni alikuja akacha madirisha wazi sasa hapa nyuma napoisbi kuna pori kubwa tu, kwani wamerudi tena dah 😑😑Wako wapi 🦜
Wige Msanii kama Anne huyoooo sema Anne sikuhizi hanaga mbambambaa anatupia tyuuu
Kama tuliachana hata muda wa kujibu msg wala kupokea call yako sina kabisa
Usinikumbushe, nimeagiza wengine, kuna mgeni alikuja akacha madirisha wazi sasa hapa nyuma napoisbi kuna pori kubwa tu, kwani wamerudi tena dah 😑😑Wako wapi 🦜
Sina demu sasa ndio nasaka 😅😅Weka full uliovaa nguo banaa pipe mpelekeee demu wakoo!!
Sharubuuu👌👌👌
ApiaSio njaaa
Watu wana genye mshindo
Ukimshika tu mkono kalowa
Hakika haukua mama mchungaji kwa bahati mbaya 😍Umenichekesha huku jamani
Wengi hata huwa hawamaanishi; anakuja kupima tu kama anaweza kupasha kiporo or not. Utaona kabisa amerudi; ila hana jipya la maana
Plus mtu aliyekuacha akaenda huko kwingine ndiyo akaamue akurudie; inawezekana wala hata hajajifunza lolote; anatafuta tu pa kukimbilia kwa muda na wewe ndiyo boya wake; possibly kakosa kwingine pa kukimbilia. Kwa nini asirudi kwako akiwa bado hajatendwa huko nje? Ni kama wale tu wanaume wanaowakimbiaga wake zao mambo yakiwa mazuri; anakuja kurudi uzeeni amechoka, apeche alolo. Utasema amerudi kwa mkewe kwa sababu amegundua makosa yake na bado anampenda?
Amekoma kugongwaUmekoma nn
Nani alikudhalilisha kisa njaa
Tumtupie jini
Oooh pole sana jamaniUsinikumbushe, nimeagiza wengine, kuna mgeni alikuja akacha madirisha wazi sasa hapa nyuma napoisbi kuna pori kubwa tu, kwani wamerudi tena dah 😑😑
Asante kwa kukaziaaaaUmenichekesha huku jamani
Wengi hata huwa hawamaanishi; anakuja kupima tu kama anaweza kupasha kiporo or not. Utaona kabisa amerudi; ila hana jipya la maana
Plus mtu aliyekuacha akaenda huko kwingine ndiyo akaamue akurudie; inawezekana wala hata hajajifunza lolote; anatafuta tu pa kukimbilia kwa muda na wewe ndiyo boya wake; possibly kakosa kwingine pa kukimbilia. Kwa nini asirudi kwako akiwa bado hajatendwa huko nje? Ni kama wale tu wanaume wanaowakimbiaga wake zao mambo yakiwa mazuri; anakuja kurudi uzeeni amechoka, apeche alolo. Utasema amerudi kwa mkewe kwa sababu amegundua makosa yake na bado anampenda?

!Weka vigezo, inawezekana yumo humuSina demu sasa ndio nasaka 😅😅