Msisahu kuna majira ya ukame na ya kutengwa kwa nyakati. haya mambo ni complex haya kanuni maalumu, kuna watu wanaachana wakirudiana inakuwa bora zaidi, kuna Harmonize na Kajala sample.. kuna sample nyingi ambazo hazina conclusion kwamba lazima iwe hivyo.. mwanamke wangu tuliachana miaka miwili kila mtu akawa na life lake tukajikuta tumerudiana tu.. na ikawa bora zaidi ya awali haya mambo ni rahisi sana kama una akili timamu.. mbona mie
Depal alinitenda alafu silii lii humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nakaza