Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shougaaaaa usubiri siku ya kufaaa ndo utabwebwaaa ukiwa ndani ya box la mbao,. Kwa sasa uwaaacheee tyuuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sheendwaaaaa!! Nimekua namba 1 saivii sio tungunya tena😁😁😁🤣!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikufichi mie mtu akivaa suti sijui official hata hisia zinakataaaa, khaaaaaah
[emoji1787] umenikumbusha zaman nilikuaga hivyo na mimi. Mwanaume akivaa kitambaa nilikua namuonaje sijui hata kumsikiliza nilikua sitaki basi huwa nikikumbuka nachekaaa. Bado wewe
 
[emoji1787] umenikumbusha zaman nilikuaga hivyo na mimi. Mwanaume akivaa kitambaa nilikua namuonaje sijui hata kumsikiliza nilikua sitaki basi huwa nikikumbuka nachekaaa. Bado wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaaa.
 
[emoji1787] umenikumbusha zaman nilikuaga hivyo na mimi. Mwanaume akivaa kitambaa nilikua namuonaje sijui hata kumsikiliza nilikua sitaki basi huwa nikikumbuka nachekaaa. Bado wewe
Waletreeeeeeee kwangu hao💃 waletrreeeeee hapaaaa 🙇🙇🙇🙇😁!!
 
Ushaanza na propaganda zako za uongo hapa, ko ulikua kmya kwa muda ku type hivi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nipe reference za madai yako hayo kuwa biological mwanamke anataka mwanaume aliye vizuri financially ili watoto wazaliwao wawe bora, bas huko vijijini watu wasingeolewa na kuzaa, au watu maskini wasingeoa na kuitwa baba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hiyo paragraph ya pili at least kidogo ina mashiko nako si sanaaa,

Kuhusu kuongea naongea mie km mie,
In caveman days wmanaume ambae alikua mpambanaji ndiye ambae watoto wake walikuwa wana chance kubwa ya ku survive, unafikiri kulikuwa kuna magari, majumba na pesa? vitu vimekuwa transformed tu, kwanza unajua maana/utofauti kati ya financially stability na utajiri?

Sasa siwezi ongea na mtu hana gender nitakuwa naongea na robot la google, huna experience yeyote ya ku chase mwanamke, huna experience ya kuwa provider, huna experience ya vitu vingi thats why una date na hao watoto wa miaka 23.. thats unaongea wewe kama wewe who are you a guy, girl or something else...?
 
Pilot naomba picha

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] genius yukooo. Hawa wa mtandaoni hata siwawekagi kichwan, tunaishia huko huko kwa app
🤣🤣🤣😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom