Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,241
- 183,120
Hapo kwa 9 iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee 💃💃💃🤸😍😍😍🤸🤸!! Miss you sana dear!!namba 4 na 9 nimewaelewa Ile mbaya .
Anza nao hao
Hapo kwa 9 iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee 💃💃💃🤸😍😍😍🤸🤸!! Miss you sana dear!!namba 4 na 9 nimewaelewa Ile mbaya .
Anza nao hao
missed you too 😘
KaBishoo tyu!!Hayaaaaa dear kasema no 4 na 9.
Hivi. Nyie no 1 mnamchukuliaje?
nae yeye yumoHayaaaaa dear kasema no 4 na 9.
Hivi. Nyie no 1 mnamchukuliaje?
Huyo aliekuficha lakini 😎😎😎😎!! 😜😜missed you too 😘
beautiful ❤️
[emoji23] anza nae huyo mana inaonekana ndio umemuelewa zaidi.Hayaaaaa dear kasema no 4 na 9.
Hivi. Nyie no 1 mnamchukuliaje?
Nyie no 1 jaman ndo naona katishaaaa mnooo.nae yeye yumo
muongeze kwa list
nae yeye yumo
muongeze kwa list
9 yupo vizuri kweliHapo kwa 9 iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee 💃💃💃🤸😍😍😍🤸🤸!! Miss you sana dear!!
Ok.
No 1 aseeeeeh yuko vyedi, kwan alivyo vaa casual ndo kaniua, mtu wa official sitaki mie.[emoji23] anza nae huyo mana inaonekana ndio umemuelewa zaidi.
Kwanza kaa ukijua hakuna mtu hapendi maisha bora, hakuna maisha bora hakuna pesa tusidanganyane, ukiwa na pesa una afford better life, kingine kibailojia wanawake wanapenda wanaume ambao wapo stable financially kwa sababu ya watoto wake waishi vyema.Kwamba wee unazungumzia mie au wengine? Tuanzie hapo kwan.
Maana mie natoa mtazamo na msimamo wangu, ila wee unataka nisemee wengine, kwan wanawake wote wanapenda pesa kwa wenza wao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We Pilot Post M-alone mtue shouz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui kapotelea wapi,. Ngoja aje sasa.
Vijana wa Sasa mna moto!! Kwaiyo ulikuwa unataka ukunjwee kunjwee haswa haswa.Alikua hanitoshelezi kwenye mizagamuo, sasa nibaki kwake ili iweje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea na umriiii..sasa sie tulioko 38 huku tunasema at least kuanzia 45🤣🤣🤣!!
nilikuwa nimelalaNipe matokeo German Uruguay na dear
Watu weuuuuweeeeeehhhhhhh 💃💃💃💃💃💃!! Sema weweee!! ✌️✌️✌️✌️😍😍😍9 yupo vizuri kweli
amevaa na kupendeza kwanza
mwanaume kuwa smart bhana.
huyo ndo umempenda eehNyie no 1 jaman ndo naona katishaaaa mnooo.
Sisi wenye umri tunaotarajia kuolewa ndio angalau tunataka watu wa aina hiyo.Inategemea na umriiii..sasa sie tulioko 38 huku tunasema at least kuanzia 45[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!