Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Saint Anne tuma picha basi
Sijui hata ipo mkoa ganiNakutania, mie mwenyewe hio location "kwa msaada wa google"
We unashabikia timu ganiDah
Nayo nimeikosa,kweli mbuzi wa masikini hazai
Ngoja niwasubiri tu TBC saa4..
Wanstunyanyasa kurusha mechi chache.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Picha sijafutaSaint Anne tuma picha basi
😅😅😅😅😅 Aiseeee.. Rungwe hotel naishiaga kulala na kusikiliza mziki wa kona barKuna mmoja nilimtafuna pale Rungwe Hotel Afrika Sana, alikua mtamu huyo
Anawajua yee mwenyewee.Nani huyo Coca jamani anakutenganisha na shostitio wako
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sijawahi kufika ila nimeona google, halafu hapo vijana wanaponda sana mali... pako cheap😅😅😅😅😅 Aiseeee.. Rungwe hotel naishiaga kulala na kusikiliza mziki wa kona bar
Timu yako World Cup ni ipi?
Kwa upepo ulivyo,nasimama na UfaransaTimu yako World Cup ni ipi?
Kumbe unaangalia upepo? unahisi Ufaransa anachukua
Kibiashara ka fail, chumbani usiku hulali hadi watapo zima mziki zile baa zote za yale maeneo na pakikucha kelele za kijamii maana ni barabarani, nilijuta siku nimeenda lala pale mana hotel zote siku hiyo nilikuta zimejaa ila pale pako wazi, ile usiku ndio nikajua kwanini. Nilicho wapendea vyumba vikubwaa sana, na bafu nzuri zina maji mazuri sana unaweza shinda bafuni na hata suite yao ni bei chee kabisa.. Ila ndio hutolalaSijawahi kufika ila nimeona google, halafu hapo vijana wanaponda sana mali... pako cheap
Mchana kweupeKumbe unaangalia upepo? unahisi Ufaransa anachukua
Tunaachana na kurudiana😉Na ukakubalije akuache sasa![]()
Nimekutana na story humu jf eti jamaa kala pisi hapo Rungwe Hotel, nikasema hii itakuwa hotel pendwa ya wana Jf, kumbe na wewe ulishafika, heheheh, Nice mkuuKibiashara ka fail, chumbani usiku hulali hadi watapo zima mziki zile baa zote za yale maeneo na pakikucha kelele za kijamii maana ni barabarani, nilijuta siku nimeenda lala pale mana hotel zote siku hiyo nilikuta zimejaa ila pale pako wazi, ile usiku ndio nikajua kwanini. Nilicho wapendea vyumba vikubwaa sana, na bafu nzuri zina maji mazuri sana unaweza shinda bafuni na hata suite yao ni bei chee kabisa.. Ila ndio hutolala
Nahisi Brazil anachukua..Mchana kweupe
Naenda na upepo,sishabikii timu mbovu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kama una pisi kali unaruka nayo sea cliff pale...Kibiashara ka fail, chumbani usiku hulali hadi watapo zima mziki zile baa zote za yale maeneo na pakikucha kelele za kijamii maana ni barabarani, nilijuta siku nimeenda lala pale mana hotel zote siku hiyo nilikuta zimejaa ila pale pako wazi, ile usiku ndio nikajua kwanini. Nilicho wapendea vyumba vikubwaa sana, na bafu nzuri zina maji mazuri sana unaweza shinda bafuni na hata suite yao ni bei chee kabisa.. Ila ndio hutolala