Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pumzi ipo ya kutosha dada yangu ☺️☺️ maana situmii aina yoyote ya kilevi wala kivuto so mapafu yangu na figo kama za mtoto mchanga 😅😅😅 mie huwa ni majii kwa wingi madafu na majani majani
Wanaume wasiokunywa pombe wala kuvuta sigara wanapenda chini kuliko chakula
Wifi nampa pole sana maana watu kama nyie na kupenda chini ni kama pete na kidole🙌
 
In caveman days wmanaume ambae alikua mpambanaji ndiye ambae watoto wake walikuwa wana chance kubwa ya ku survive, unafikiri kulikuwa kuna magari, majumba na pesa? vitu vimekuwa transformed tu, kwanza unajua maana/utofauti kati ya financially stability na utajiri?

Sasa siwezi ongea na mtu hana gender nitakuwa naongea na robot la google, huna experience yeyote ya ku chase mwanamke, huna experience ya kuwa provider, huna experience ya vitu vingi thats why una date na hao watoto wa miaka 23.. thats unaongea wewe kama wewe who are you a guy, girl or something else...?
wee pilot hebu kwani nichekeeee, khaaaaah. Unajuaga kunifurahishaaa mnooo.

Nikuulize swali? Wee unaongeleaa wanawake na hayo madai yako kwan wee ni mwanamke? Utajitetea eti kwa sababu una date na hao wanawake, je wee mitazamo na misimamo yao unaijua? Wanawake woteee??? Hata hao ulio date nao ndo walikuambia kuwa wanawake wote wako hivyo? Na hata km wao walikua/wapo hivyo ndo indicate ya wanawake wote? Au wee ni fikra zako?

Bas hauko sahihi na uko wrong kabisaaaa, kila mtu ana machaguo na maamuzi yake ktk kila jambo, hata ikiwa common kwa gender au jamii yake. Tusidanganyane hapa.


Mie nna gender, na Sex pia. Ila sio muhimu ktk mjadala huu. Naongea mie km mie.
 
Back
Top Bottom