Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Brazil Gani?Nahisi Brazil anachukua..
Hii ya mabishoo?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Brazil Gani?Nahisi Brazil anachukua..
😅😅 Nilienda kwa emergency tu, baada ya hotel ambayo huwa nalala kukuta imejaa.. Pale naona pamekaa kimichongo michongo sanaNimekutana na story humu jf eti jamaa kala pisi hapo Rungwe Hotel, nikasema hii itakuwa hotel pendwa ya wana Jf, kumbe na wewe ulishafika, heheheh, Nice mkuu
Sawia mkuu..😅😅 Nilienda kwa emergency tu, baada ya hotel ambayo huwa nalala kukuta imejaa.. Pale naona pamekaa kimichongo michongo sana
😅😅 Pisi kali nikiona hii kali kabisa, tunavuka dar es salaam kabisaa.. kuna kuwa hakuna habari za narudi home lazima mfate ticket ilivyokatwa kama return kama kuna gape siku kazaa lazima zitimie.. tuKama una pisi kali unaruka nayo sea cliff pale...
Khaaa😂
kama Alayna hivi ana deserve😅😅 Pisi kali nikiona hii kali kabisa, tunavuka dar es salaam kabisaa.. kuna kuwa hakuna habari za narudi home lazima mfate ticket ilivyokatwa kama return kama kuna gape siku kazaa lazima zitimie.. tu
Tuma pichaKhaaa😂
Yule ni Qatar kabisa😅😅😅 Alayna mdogo wangu ni 🌟🌟🌟🌟🌟 itapendeza mnaruka kontinenti kabisa
Yule anafatilia sana penzi letu daah😅Khaaa😂
Akitoka Qatar mpeleke Caribbean Saint Martin 😅😅😅Yule ni Qatar kabisa
National Anthem wenye miguu ya namna hii nasikia ni watamu sanaNaituma tena kwa uvivu wa kutoangalia post za juu
Una unavutia mo'mmyNaituma tena kwa uvivu wa kutoangalia post za juu
Wivu tu unamsumbuaYule anafatilia sana penzi letu daah😅
Mpaka hapo ushampa mimba mkuuAkitoka Qatar mpeleke Caribbean Saint Martin 😅😅😅
Matege yaliyopinda?National Anthem wenye miguu ya namna hii nasikia ni watamu sana