Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,341
No 1 aseeeeeh yuko vyedi, kwan alivyo vaa casual ndo kaniua, mtu wa official sitaki mie.
No 2 nae akivaa casual anaua mnoooo.
wee nshakuona unapenda masharobaro surual kama skintyt.No 1 aseeeeeh yuko vyedi, kwan alivyo vaa casual ndo kaniua, mtu wa official sitaki mie.
No 2 nae akivaa casual anaua mnoooo.
wee nshakuona unapenda masharobaro surual kama skintyt.Yeah sema hadi umpate huyo smart sasa 🤣🤣 .Watu weuuuuweeeeeehhhhhhh 💃💃💃💃💃💃!! Sema weweee!! ✌️✌️✌️✌️😍😍😍
Lol nilimix files... kumbe wareno wanaongoza ngoja tuone 90nilikuwa nimelala
ni Portugal vs Uruguay
Portugal 1 - Urguay 0
Hakuna boya wa kumtikisa boss lediBL Boya tu !!
hahha hakuna wa kunifichaHuyo aliekuficha lakini 😎😎😎😎!! 😜😜
Wareno wapo vizuriLol nilimix files... kumbe wareno wanaongoza ngoja tuone 90
Weee hayo matusi ujue,!!! Mi Nimesema BL Boya tu!🤔🤔
Ushaanza na propaganda zako za uongo hapa, ko ulikua kmya kwa muda ku type hivi?Kwanza kaa ukijua hakuna mtu hapendi maisha bora, hakuna maisha bora hakuna pesa tusidanganyane, ukiwa na pesa una afford better life, kingine kibailojia wanawake wanapenda wanaume ambao wapo stable financially kwa sababu ya watoto wake waishi vyema.
Mwanaume ni tofauti ye haangalii pesa ana vutiwa na muonekano, munekano mzuri ni kiashiria cha afya, hii ina improve afya ya watoto wake , pia muonekano wa mwanamke inaongeza hamu ya tendo(libido) kwa mwanaume kuweza kumpa mimba mwanamke na kuanzisha kizazi... Kumbuka hiki kitu hufikirii bali ipo kwenye DNA, ni programu ipo ndani...
Sasa we unaongea kama nani?



















Hahahwee nshakuona unapenda masharobaro surual kama skintyt.





sikufichi mie mtu akivaa suti sijui official hata hisia zinakataaaa, khaaaaaahMambo dearSisi wenye umri tunaotarajia kuolewa ndio angalau tunataka watu wa aina hiyo.
45 duh,si ana familia huyo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yuko vyedi hatareeeee.huyo ndo umempenda eeh
Anza na huyo dear
kipendacho roho hicho
Nadhani nimebaki Mimi tu.Yeah sema hadi umpate huyo smart sasa 🤣🤣 .
kazi kweli kweli
Umeona kitu gani niambieYuko vyedi hatareeeee.
Habari wanaijua walio wahi kunikulaaaa,Vijana wa Sasa mna moto!! Kwaiyo ulikuwa unataka ukunjwee kunjwee haswa haswa.
Lakini mtu mwenyewe unakunjika au mbwembwe! Au nikama yule kondoo tu wa Gwaji Boy.








Hongera kwa kuwa smartNadhani nimebaki Mimi tu.
Habari yako mkuu.
Na zawadi yako ya wanja.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!👈👈👈👈👈👈😁😁😁😁🤣🤣🤣!! Mbavu zangu cocaaaaa🤣🤣😁😁😁🤣!! Fleva zako nazielewaaa Shosssikufichi mie mtu akivaa suti sijui official hata hisia zinakataaaa, khaaaaaah
Kama ulivoniachaNakuacha achaje
Eti my ex![]()