Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Fanya diet shougaaaaa,

Kubebwaaaa tuachie sie, huhuhuhuhh

Hakna style tamu km ya kuikalia unajipimia tyuuh,. Bas inazama inalia fyuuuupppp fyuuuuupppp, weraaaaaaaaah!!!!

Ubooo mtraaaaaamuuuuuuu, heri nikose kulaaa ila sio kuinamishwaaaaa.
Weee nishakua kimodooooo usintanieeee shooosssss Nani hataki kubebwabebwa kwani weeeee🤣🤣!!
Hio Staili mwanamke unajipimia mwenyeweeeee hahahaaa!!!
 
Weee nishakua kimodooooo usintanieeee shooosssss Nani hataki kubebwabebwa kwani weeeee!!
Hio Staili mwanamke unajipimia mwenyeweeeee hahahaaa!!!
Shougaaaaa usubiri siku ya kufaaa ndo utabwebwaaa ukiwa ndani ya box la mbao,. Kwa sasa uwaaacheee tyuuuh.
 
Depal dyadyaaaa ake,

Lenie didii akeeeee

sophy27 shangaziiii akeee

Antonnia shoga uyoga km sio mbogaa akee

Tinsley dear ake.

Leo nliingia app 1 hivi, maana nliisusaga kitambooo na nkasahau password nkaacha, sasa leo niliikomalia nkawaza na kuwazua password zote nilizohisi hatimae nkapatia bhana.

Nlivo log in, uwiiiiiiiiih nmekutaa text nyingiiii mweeeeeeeeeh sasa ktk kuangalia nianze na nan kumjibu, nkaamua kuchaguaa handsomes 10 (kwa mtazamo wangu) nkawapata hawa hapa kila mtu na no yake kwa u handsome. Lol

Sasa nyie mniambie nianze na yupi,


Nimeamua tyuuuh kuwaomba ushauri!!! WeraaaaaaaahView attachment 2430126View attachment 2430127View attachment 2430128View attachment 2430129View attachment 2430130View attachment 2430131View attachment 2430132View attachment 2430133View attachment 2430135View attachment 2430136
namba 4 na 9 nimewaelewa Ile mbaya .
Anza nao hao
 
Back
Top Bottom