Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20221127_155058_265.jpg

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Baba Mchungaji.

Heshima hiyo na ikurudie sabini mara sabini mulangira. Fanya haraka umalize hizi hekaheka za ujana zinazokupotezea muda uanze safari ya kurudi Ethiopia kwenye kiini na legacy yako ya kweli.

Mavuno ni mengi shambani mwa Bwana lakini wavunaji ni wachache.

Bwana Anakusubiri shambani mwake. Usije ukachelewa sana Baba Mchungaji
 
Amen.
 
Miss u my shoga uyogaaaaa, naambiwa umekatazwaaa mazoea na mie, ndo maana unanichunia, kheeeeh haya bhana. Endelea hivyo kutii agizo, isije semwa nakurubuni, akuuuuuuh sitaki.

Seriously!!!!!
Ebu ncheke kwanza 🤣🤣🤣🤣🤭😁😂!! Nani huyo wa kunikataza miee humuu fanya kuniletea hapaa kwanza nimuone 🤣🤣🤣🤣🤭!!,??!!
Mi Nakutizama tu unavonipotezea mwenyewe sijui nimekukosea nini hata shoss akee !! Mi mwenyewe Jambazi suguu alieshindikana😎🤭🤭!!
 
Depal dyadyaaaa ake,

Lenie didii akeeeee

sophy27 shangaziiii akeee

Antonnia shoga uyoga km sio mbogaa akee

Tinsley dear ake.

Leo nliingia app 1 hivi, maana nliisusaga kitambooo na nkasahau password nkaacha, sasa leo niliikomalia nkawaza na kuwazua password zote nilizohisi hatimae nkapatia bhana.

Nlivo log in, uwiiiiiiiiih nmekutaa text nyingiiii mweeeeeeeeeh sasa ktk kuangalia nianze na nan kumjibu, nkaamua kuchaguaa handsomes 10 (kwa mtazamo wangu) nkawapata hawa hapa kila mtu na no yake kwa u handsome. Lol

Sasa nyie mniambie nianze na yupi,

Nimeamua tyuuuh kuwaomba ushauri!!! Weraaaaaaaah
Screenshot_20221128-201916_2~2_1.jpg
Screenshot_20221128-200854_1~2_1.jpg
Screenshot_20221128-201742_1~2_1.jpg
Screenshot_20221128-200745_1~2_1.jpg
Screenshot_20221128-202418_2~2_1.jpg
Screenshot_20221128-202022_1~2_1.jpg
Screenshot_20221128-202138_2~2_1.jpg
Screenshot_20221128-202333_1~2_1.jpg
Screenshot_20221128-212509_2~2.jpg
Screenshot_20221128-201542_2~2.jpg
 
Depal dyadyaaaa ake,

Lenie didii akeeeee

sophy27 shangaziiii akeee

Antonnia shoga uyoga km sio mbogaa akee

Tinsley dear ake.

Leo nliingia app 1 hivi, maana nliisusaga kitambooo na nkasahau password nkaacha, sasa leo niliikomalia nkawaza na kuwazua password zote nilizohisi hatimae nkapatia bhana.

Nlivo log in, uwiiiiiiiiih nmekutaa text nyingiiii mweeeeeeeeeh sasa ktk kuangalia nianze na nan kumjibu, nkaamua kuchaguaa handsomes 10 (kwa mtazamo wangu) nkawapata hawa hapa kila mtu na no yake kwa u handsome. Lol

Sasa nyie mniambie nianze na yupi,

Nimeamua tyuuuh kuwaomba ushauri!!! WeraaaaaaaahView attachment 2430126View attachment 2430127View attachment 2430128View attachment 2430129View attachment 2430130View attachment 2430131View attachment 2430132View attachment 2430133View attachment 2430135View attachment 2430136
Namba 4
 
Back
Top Bottom