Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,790
- 182,962
Dogo unakwenda wapi? Nialike na mimi.Baada yakuibuka na ushindi tunarudi sasa kusherkea kwa kahawa nyumbani[emoji41]
In mkwasa we trust[emoji41]View attachment 1257863
Dogo unakwenda wapi? Nialike na mimi.Baada yakuibuka na ushindi tunarudi sasa kusherkea kwa kahawa nyumbani[emoji41]
In mkwasa we trust[emoji41]View attachment 1257863
Vipi shem?[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji124][emoji124][emoji124]
Dear.. Witty yuko wapi jamani?
Niko tayari mimii jamaniJiandae
Nakazia mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Tuma namba pm nikurushie salio lipo la kutoshaView attachment 1257840
Leo silali[emoji3][emoji3]poapoa
Tupia basi.
Kujua sikulagi kitimoto basi umeagiza mzima kabisaa jamani
Baada yakuibuka na ushindi tunarudi sasa kusherkea kwa kahawa nyumbani[emoji41]
In mkwasa we trust[emoji41]View attachment 1257863
Ni mwendo wa kusachi marehemu tuu[emoji848][emoji848][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23]poapoa
Atoto nadhani utaamini sasa nimeacha rasmi...View attachment 1257776
Mpo pamoja ama?
Game gani tena?
Dogo unakwenda wapi? Nialike na mimi.
Picha nimekuwekea nikafuta tatizo nawe nikiweka unapotea kwenye uzi.Unazuga eeh??
Ndanda alikua anacheza na yanga
Dah!
Siku hizi sina mzuka kabisa na soka baada ya timu zangu zote kuwa vimeo, si Ulaya si TZ...
Nimeona umeandika Mkwasa hapo, kwa hiyo mzee wa "Boo" au "Kusinya" alishatolewa baruuu