Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,334
- 176,127
Ndio mama.41? Hata simple? Na hizi sandlez?
Ndio mama.41? Hata simple? Na hizi sandlez?
Hebu niache huko, unadhani majungu unayonipigaga siyasikiagi?![]()
Kwahiyo ulinifuata mimi mwembamba ili kuepusha kompitisheni? Na sio kwa sababu unanipenda?Ndio hapo sasa... wengine tunafanya kuepuka kompetishen



Mie akija kunililia viboko vitamuhusu.
Nilijua ungesema ungenigombeza.Mie akija kunililia viboko vitamuhusu.


kama ni viboko duu itabidi nihakikishe siji.Yaani avuruge halafu nimchekee!! Bakora tu.Yes. Hapo kweli una play role ya udada vzr
Nina mguu mrefu sheeView attachment 1257828
Eeeh ukiamka asubuhi mwili unauma.
Ni mifupa tu inagongana.
Kukugombeza najua haijawahi kufanya kazi maana utaishia kunirekodi tuNilijua ungesema ungenigombeza.kama ni viboko duu itabidi nihakikishe siji.



Nilijua ungesema ungenigombeza.kama ni viboko duu itabidi nihakikishe siji.
Nitanenepa tuu, ngoja niendelee kula mayonnaise na niweke mafuta kwenye chai.
Sasa unavyoona unafikiri unadalili za kunenepa hapa duniani kweli mdogo wangu?
Kukugombeza najua haijawahi kufanya kazi maana utaishia kunirekodi tu![]()
Unavyovitafuta utavipata.Nitanenepa tuu, ngoja niendelee kula mayonnaise na niweke mafuta kwenye chai.
Hahahhahahahhahahahahhaha hakiiiiiiiyamamannimechekaa. Hivi kuna wakati akili yako unaiacha mahali eehUkimuendekeza ndio mwisho wa siku apate pressure na visukari buree halafu mke uonekane mzembe. Inabidi ajishughulishe.
Nikimgombeza anarekodi ili asikilize baadae. Mgombezo unakwenda bure tuAlikurekodi?? Lini tena


Sawa nitaleta mrejeshooo.basi ongeza nyingine...
Kwanini kaka shemeji?