Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,930
Ningefurahiiiii[emoji7][emoji7][emoji7]Bora wewe ndio ungechukua umodo.
Ningefurahiiiii[emoji7][emoji7][emoji7]Bora wewe ndio ungechukua umodo.
Stress tuu tunazopata ni mazoezi tosha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapi ndugu yangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehhehe wapi haiba leoooooo
Sadaka za leo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msicheke
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo hapo kwani huioni?
Cheka dear[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]uwii utafanya niachike mimi jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeshaanza kukipenda kitambi kiache.
Halafu shida sio kutoa kitambi shida ni pale uwanjani, wadada wana machuuuuuraaa makubwa, na wakija mazoezi wanakuwa wamevaa vi tight vimewachora sana wakati mimi huku hamna chura.
Sasa wewe kama unataka kitambi kiishe, nitakupa stress wiki tuu kitambi na hiyo miguu imeisha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamaniMda wote nipo nayo nimeikumbatia.
Kuachwa kunauma.
Haiba iko kwenye michezoHehhehe wapi haiba leoooooo
Kaka shemeji naomba raba nami nikakate kitambi.Wale wazee wa kukataa vitambi tujuane
Stress tuu tunazopata ni mazoezi tosha.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nitaweka soon
Haiba iko kwenye michezo
Sadaka za leo!
Muweka hazinaView attachment 1257773
We baba we!!!!Kifua [emoji39]
Cheka dear
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaenda kutembea mjini na wanafunzi wako?
Sawa mwalimu wa haiba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwasababu gani? Ndo natoka shuleni hivyo.
Atoto nadhani utaamini sasa nimeacha rasmi...View attachment 1257776