Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,928
The life isnt fair jamani[emoji134][emoji134]TGIF...let the weekend begin
View attachment 1257822
Nipeko hata vitatu nshomile jamani.
The life isnt fair jamani[emoji134][emoji134]TGIF...let the weekend begin
View attachment 1257822
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na chakula atachota mwenyewe kwenye sufuria. Asijiendekeze.Kabisa, maji ya kunawa unamuonesha kwa mguu, asijifanye mlemavu huko.
Ni wewe tu unaniweza mpenzi.Hahahaha! Sikuwezi..
Weka D tuondoke 😂TGIF...let the weekend begin
View attachment 1257822
Mmoja tayari mkuu. Ila bado.. Ndio ujue huu mwili kama vile niliachiwa laana[emoji23][emoji23]moja tu yakutosha
Bapa unamaanisha kama chupa ya konyagi?Saizi namba ngapi? Mguu wako ni bapa?
JiandaeUnipitie na mimi
Ukimuendekeza ndio mwisho wa siku apate pressure na visukari buree halafu mke uonekane mzembe. Inabidi ajishughulishe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na chakula atachota mwenyewe kwenye sufuria. Asijiendekeze.
Mmoja tayari mkuu. Ila bado.. Ndio ujue huu mwili kama vile niliachiwa laana[emoji23][emoji23]
Nitakuchagulia. Hata pair mbili maana kazi kununua tuu viatu badala ya kuninunulia IphoneSi ndio maana nakupenda sasa[emoji7][emoji7][emoji7]
Nichagulie mama.
Ulikataaa..kata kata nisiangalie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe haki akili yako unaijua mwenyewe.
Kwahiyo hauangalii kwa sababu nilikukataza? Au kwa sababu haupendi?
Maneno yako tu yamenifurahishaMbona umefurahi mkwe?
41? Hata simple? Na hizi sandlez?Navaa namba 41 shem kaka.
Tena ninashangaa inakuwaje anakuruhusu utumie smartphone!! Ilitakiwa uwe na kitochi ili uwe busy kumhudumia mume na watoto.Nitakuchagulia. Hata pair mbili maana kazi kununua tuu viatu badala ya kuninunulia Iphone
Navaa namba 41 shem kaka.
@atoto unaona sasa? Halikuwa kosa langu kutokujua namba ya viatu.Hivi vya mchina hata namba hazisomekagi.
Sasa ngosha nakufurahisha burebure kweli?Maneno yako tu yamenifurahisha
Ha ha ha ha aha mimi ni mchaga mkuu naijua miili ya mashangazi zangu si mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah una utani na wachagga wewe...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@atoto unaona sasa? Halikuwa kosa langu kutokujua namba ya viatu.