Ndio usiangalie, niangalie mimi tuu.Ulikataaa..kata kata nisiangalie.
Ndio usiangalie, niangalie mimi tuu.Ulikataaa..kata kata nisiangalie.
Mimi sitaki uje mdogo wangu ulaumiwe kwa kuwa mzembe, inabidi ajishughulishe.Hahahhahahahhahahahahhaha hakiiiiiiiyamamannimechekaa. Hivi kuna wakati akili yako unaiacha mahali eeh
Nikimgombeza anarekodi ili asikilize baadae. Mgombezo unakwenda bure tu![]()
Uwiiiii umenigeuka?Tena ninashangaa inakuwaje anakuruhusu utumie smartphone!! Ilitakiwa uwe na kitochi ili uwe busy kumhudumia mume na watoto.









Hapana ni yangu.Niliiona huko gugo...!anyway miguu inafanana.
Hapo mbona kama ni 39 au 38
Hayo ndio mambo....Ndio usiangalie, niangalie mimi tuu.
Kwahiyo nawe unataka usikilize ninavyomgombezaHukuniambia hata....! Leo itabidi nikague simu yake nijue



Kwa urefu gani huo unakuwa na mguu mkubwa kama mimi? Au wa kwako ni mnene ndio maana? Maana mimi navaa 41sema wangu mrefu mwembamba.Ndio mama.
Kukugombeza najua haijawahi kufanya kazi maana utaishia kunirekodi tu![]()
Tuma namba pm nikurushie salio lipo la kutoshaThe life isnt fair jamani
Nipeko hata vitatu nshomile jamani.
Ndio size yangu hiyo sasa mama. Mguu mrefuuu.Kwa urefu gani huo unakuwa na mguu mkubwa kama mimi? Au wa kwako ni mnene ndio maana? Maana mimi navaa 41sema wangu mrefu mwembamba.
Na vile nani taka nitimize ahadi yangu kwa Karma lazima nikurekod.Kukugombeza najua haijawahi kufanya kazi maana utaishia kunirekodi tu![]()



Picha ipi?Hvi mbona ile picha uliifuta. Hata sijaiona. Kule juu kabisa.
.
Maana yake anataka kusema ni zuri sana na wewe hauwezi kuwa na mguu mzuri hivo
Kwanini kaka shemeji?



Natuma jamani.Tuma namba pm nikurushie salio lipo la kutoshaView attachment 1257840