Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,930
Ndio hivyo.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Ndio hivyo.[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Hapana nitaenda kwa heri, ila nikishakukoroga hapana kwakweli.Kwa dada ni muhim kwenda. Mtoto kww dada hakui
Ha ha ha ha ha wewe sikuwahi kukusikilizisha sauti ya Atoto? Ilikuwa 2017 kama sikosei.Alikurekodi?? Lini tena
Amen[emoji120][emoji23][emoji23][emoji23]Unavyovitafuta utavipata.
Tena migombezo yangu naipenda, naitumiaga kutafutia usingizi.Nikimgombeza anarekodi ili asikilize baadae. Mgombezo unakwenda bure tu[emoji134][emoji134]
Mwe mwe mweeeeeh[emoji134][emoji134][emoji134]Maana yake anataka kusema ni zuri sana na wewe hauwezi kuwa na mguu mzuri hivo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kaone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Niliiona huko gugo...!anyway miguu inafanana.
Hapo mbona kama ni 39 au 38
Jiamenishe tu hapo!!!Amen[emoji120][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana nimehamia kwenye bakora.Tena migombezo yangu naipenda, naitumiaga kutafutia usingizi.
Sasa kama mume anatakiwa afanye majukumu ili asiugue presa kwanini unasema asuninunulie iPhone?Mimi sitaki uje mdogo wangu ulaumiwe kwa kuwa mzembe, inabidi ajishughulishe.
Yaani huyu mumeo ni changamoto.Kaone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nimebadili pasword[emoji23]Hukuniambia hata....! Leo itabidi nikague simu yake nijue
Sio majukumu ya aifoni mama.Sasa kama mume anatakiwa afanye majukumu ili asiugue presa kwanini unasema asuninunulie iPhone?
Ndio maana yake, halafu anajidai anakagua.Kwahiyo nawe unataka usikilize ninavyomgombeza[emoji134][emoji134][emoji134]
Basi sikugombezi tena.Ndio maana yake, halafu anajidai anakagua.
NakupitiaWeka D tuondoke 😂
Tuma namba pm nikurushie salio lipo la kutoshaView attachment 1257840
Umejijua eewhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nauma na kupulizia[emoji1787][emoji1787]
Tupia basi.Punguzeni manenoo banaa, picha hata za vijiko basi