Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Unazuga eeh??
[emoji41]
[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]
Unakulaga hiyo [emoji1780]
Rangi ya embe bolibo lililokwiva barabara...
Daaah mkuu umenitega... Sjui niseme marahaba😄😄🙏🏾Shikamoo
Naam, weupe fulani hivi...kama fanta orenji
Kama ni msukuma siwezi kushangaa; ndo ugonjwa wenu
Unalala sana; kila nikipost haupo
Lunch time
KILEMA Pofo Moshi Kilimanjaro View attachment 1257656
Ukiwa na muonekano kama huu halafu wanaume hawataki kukuoa lazima uwe na hasira kaliiii
Dear.. Witty yuko wapi jamani?Nishakaribia nipo naperuzi picha za wanaJF
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]endiwoo vibonge
Hilo ni basi gani boss?That's oneView attachment 1257707
pic imefanya nimepindua Monitor, muwe mnaweza za verticle bhanaThat's oneView attachment 1257707
Kabisa..Itifaki Izingatiwe.. naona stori zinakuwa nyingi..Nawakumbusha Wapendwa chat ziendane na picha.
Hi Mp.....Hello beautiful 🥰
Dar Lux BossHilo ni basi gani boss?
Me nimezoom kabisapic imefanya nimepindua Monitor, muwe mnaweza za verticle bhana
pic imefanya nimepindua Monitor, muwe mnaweza za verticle bhana
👍🏼👊🏽Dar Lux Boss
Wewe kweli mnazarethiThat's oneView attachment 1257707