Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

vyote hivyo?? Lakini nakufananisha na rafiki yangu fulani hivi naye anakula vitu kama hivyo karibu kila siku na anapenda msosi huyo yaani kwenye msosi hatakagi mchezo lakini wapi ndiyo kwanza kimbaumbau!!

Hivi Saint anne wewe ndiyo hauna mpango wa kunenepa eenh??
Saaana, natamani kunenepa saaaaana. Yaaaani sanaaaaaaaa. Nakulaga michipsi kila siku lakini waapi.
Naweka blueband hadi kwenye mboga, mayonnaise, mayai ya kisasa, makuku ya kisasa lakini wapiii
 
Back
Top Bottom