Wapi ukoWameshakata umeme![]()
Haya nilale sasa
Kiza hadi Sijioni
Saint Anne
Afu mnijuze zile taa ambazo zinakuwaga dizain zinafyonza energy… umeme ukikatika yenyewe itaendelea kuwaka kwa muda flani.
Njiro
mnatumia app eehHivi kwann ukipost kitu kama unatumia inifinix na tecno humu JF ndyo zinaonekana kwamba huyu anatumia hii simu sijapenda bora mm natumia pc![]()
Umerudi..
MuongoUmerudi..
Nalala
Usiku Mwema

Kama kwenu haujarudi poleMuongo
Mkoa wa majambazi huo😂😂😂Wameshakata umeme 🤣
Haya nilale sasa
Kiza hadi Sijioni
Saint Anne
Afu mnijuze zile taa ambazo zinakuwaga dizain zinafyonza energy… umeme ukikatika yenyewe itaendelea kuwaka kwa muda flani.
Sawa, mzee wa mchongo,Usijali Mjukuu, nimeshaanza kuchonga mpini mrefu kutosha jembe lako
Karibu tulime kesho![]()

nimegoogle pia
Una uhakika?Mkoa wa majambazi huo😂😂😂
Wanawakomesha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Samsung galaxy
hahaha