Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20220918-123848_WhatsApp.jpg

Kwenu wadogo zangu shorties sharauti kwenu. Mimi Dada yenu mrefu nawasalimia sana. Jumapili njema
 
🤣🤣 Tumepata kizingizio kipya mjini.. Ile kitu hauitaji perfume.. ova visabuni vya Eva..

Kuna siku demu kaja mahala tulisema tukutane ananukia Ikeda afu ananiambia alikua bodaboda. Nikajua vijana wenye Crown washanisaidia uko.
🤠🤠🤠🤠 Ukweli ni kwamba sijawa tumia ikeda, ila kwenye gari ya mpenzi wangu ipo.. Na huwa nikichukua gari naitoa, naweka kwenye buti.. Sipendi ikeda ina harufu kali sana.. Vijana wenye crown wanapiga sana kazi kuliko wa BMW..
 
Wa BM wana stress. Umewahi ona dereva wa BM ana sura ya furaha? Gari kila ukitoka out next trip garage. Mafuta yapande bei bado spare, kha.
 
Back
Top Bottom