myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Aisee
Aisee
Safiiii jiraniWeekend iko poa kabisa huku jirani
Tunaenjoyyyy
Hapana I can't my friend, namheshimu mnoo... Siwezi date na mwanaume wke though ametaka urafiki ufe...!!!Kama umemuelewa jamaa wewe endelee kuenjoy marafiki wa kike waga hawadumu sana utapata mwingine ila uwe makini na jamaa huyo haeleweki ukiwa na rafiki mwingine jamaa lazima apite Nate be carefully [emoji1]
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Ila hatakuchukia sana hiyo mindset yake sijui utaibadilishajeHapana I can't my friend, namheshimu mnoo... Siwezi date na mwanaume wke though ametaka urafiki ufe...!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sitaki kuwa kama akina Mrema miye 🙊
Dah aiseeSitaki kuwa kama akina Mrema miye [emoji87]
Nilidhani leo ni zamu yako kumpa ofa BabuNaomba lift nq vochaaa, ntakuwa naperuzi nikiwa ndani ya ndinga.
🏃🏃🏃🏃
Usinambie katupia mapicha ya tripJamani kaka mzuri
Nimeona leo katokezea kule[emoji4]
Nikimaliza chuo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ma broooh, hebu badilisha jina, wekaa ilee yenye "hood"Wakuu muwe na usiku mwemaView attachment 2360084
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
We dogo ni boya🤣Hadi mpira wa kipa wa kuanzisha, mie nakabaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie zamu yangu itakuja na ntakupa, leo ni wee hapo.Nilidhani leo ni zamu yako kumpa ofa Babu
Ndo mwaka gani labda na mimi naweza kuokota dodo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikimaliza chuo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechachukaaa vibayaaaa, sijui nn kimenikutaaaa, kila nikisema kheeeh sahiv niwe na akili niache ujinga, shetty ananipitia na kunichachua tenaaa.We dogo ni boya[emoji1787]
Nimecheka
Mwakani eti.Ndo mwaka gani labda na mimi naweza kuokota dodo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Wacha weee.
Ngoja tuandaega mahari na bajeti ya harusi [emoji23][emoji23][emoji23]Wacha weee.