Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie naomba niwaulize ,ikitokea mko marafiki A na B mtu ,A Ana bwana ake,akatongoza B Ila akakataa kulinda heshima ya urafiki na hakusema ,chochote pia kuhofia mahusiano yao yasife,then wewe unaendelea na ukaribu wako na wote wawili,at last A akajua kua mpenzi wake anatongoza B,akiambiwa na mtu mwingine kabisaa...
Shoga anavunja urafiki na B ,kisa bwana ake katongoza B hakusema.
Je B alikua sahihi kutosema kua shemeji anamtongoza?Na A Yuko sahihi kukata urafiki pia?
Hebu naomba mawazo yenu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
B yuko sahihi kutosema, na A hayuko sahihi kukata urafiki. Unless iwe vinginevyo kat ya B na bwana ake A.

Kwa upande wangu lakiniiiii
 
Wiki chache nilikuwa hapo kwa majirani zetu

Jioni nikawa nimetoka kuangalia mji na vilivyomo

Nimezunguka kiasi then nikaona chimbo limenivutia nikasema ngoja niweke kambi

Huenda nikaambulia Tasi au Chewa[emoji1787]

Bhas kidogo ikaingia nguva kali ina tako kama la khumbu[emoji1787][emoji1787]

Ikaja kuketi karibu na nilipo nikaelewa tu huyu yupo mawindoni

Kutest zari imooo tukala tukanywa

Sasa umewadia wakati tukamalizie jioni yetu duh salalee[emoji2297]

Ile manzi anatoa viwalo balaa likaanzia hapo

Room yote ikageuka harufu ya ng'onda nilichofanya ni kubip kwa mwenzangu akapiga

Nikajiongelesha uongo ukweli nikamrejea bibie oyaa ajent anahitaji mzigo usiku huu

Hivyo wewe lala narudi nikamlipa kabisa nikasepa na sikurudi
Looh msukuma wewe
 
Goli 6 Ila hazitambuliki caf labda cuf ya lipumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyieee nakufa kwa kucheka, group la class watu wanacharuanaaa balaaaa,

Leo sina mood ya kuropokwaaa japo nachokozwa, natulia kwan tukimalizana na Bullets kesho, ndo watanijua vizuri, watatafuta kwa kujifichaaaa.

Yanga na simbaa ni kisangaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mniacheeeeee nipeti peti penzi langu, nilishakua msingo sugu, sasa mtoto wa mama mkwe kanihurumia, kwann nisishikilieeee???

Weuweeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
Kaba hadi penalty[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usilegeze

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Ka avatar hako hatari [emoji23][emoji23][emoji23] nimeami hadi umechenji basi mambo ni moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba damu, simba kindaki ndaki.
Am Simba fan, [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]


Mambo n [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom