Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sindano zake kali sana, ilibidi niingie gharama kutiwa na wageni kuepuka kusimwanga, maana nilikuwa mwenyewe najilaimu kosa la siku moja limeleta aibu, jamaa walichoma kasindano kadogo tu kamoja, then drip ( vile vidogo) ndani ya dk 10 kameisha, then kuna machine wakawa wana niweke kwenye kibofu hivi kama dk nne.. Kwa mda wa siku saba, ili wao kujirizisha ila ndani ya siku ya siku mbili ile hali ilipotea kabisa. Shida hii wao wanajua mlaji wa mizoga, kumbe wakati mwingine sio ila ndio ivyo huwezi jitetea 😂😂😂.. Kuna rafiki yangu tulikuwa nae chuo yeye alikuwa chronic hadi akawa anatembea na ka sindano ka kujidunga maana ilimla kisawa sawa
Ni shida aisee!

Wabebaji wa maradhi haya asilimia kubwa ni Wanawake na bahati mbaya kwao kutokana na maumbile wanaweza kujikuta wanakaa nalo hata miezi 3 hadi Mwaka bila kujijua, wakati Mwanaume ni ndani ya siku Moja tu tayari amejua.

Nisije kufunguka sana Vijana wakapata maswali Kwa Babu yao hapa kwamba inakuwaje na Umri wote huu nikawa Mhanga, hawajui kuwa Ukiona Nyani Mzee ujue amekwepa mishale mingi 🤸🤸
 
🤠🤠🤠🤠 Wanawake wengi wana vifurushi ila hawajui.

Mie nina uhakika pale nilipo jiunga kifushi, Kwa macho unaingia kingi yule mrimbwende ni msafi na hata ndani msafi msomi. Nilipo jua nilifikiria nimuambie ila nikaona hapa nitaambiwa mie ndio nimempa yazuke mengine, nikapiga kimya.. Aendelee kuwaungisha bundle wengine.. Ila vijana sasa hivi hawana hofu na nina hisi kama magonjwa yame expire vile maana ukipita maeneo flani hali ni mbaya kweli kweli
 
Wanawake wengi wana vifurushi ila hawajui.

Mie nina uhakika pale nilipo jiunga kifushi, Kwa macho unaingia kingi yule mrimbwende ni msafi na hata ndani msafi msomi. Nilipo jua nilifikiria nimuambie ila nikaona hapa nitaambiwa mie ndio nimempa yazuke mengine, nikapiga kimya.. Aendelee kuwaungisha bundle wengine.. Ila vijana sasa hivi hawana hofu na nina hisi kama magonjwa yame expire vile maana ukipita maeneo flani hali ni mbaya kweli kweli
Leo nimechukua nondo za kutosha

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Nondo kubwa ni kufunga zipu. Piga story ila zipu ifungwe. Maisha haya matamu sana kama afya yako ipo fit 100%.. Ikisha teteleka hata asilimia kadhaa maisha hutofurahia ipasavyo. Afya ni kila jambo. Hata hapa tunachapa story ila hakuna utekelezeji tunachotana akili tu, 🤠🤠🤠🤠🤠 kutokushiriki sex mkuu hupungukiwi chochote..
 
Nondo kubwa ni kufunga zipu. Piga story ila zipu ifungwe. Maisha haya matamu sana kama afya yako ipo fit 100%.. Ikisha teteleka hata asilimia kadhaa maisha hutofurahia ipasavyo. Afya ni kila jambo. Hata hapa tunachapa story ila hakuna utekelezeji tunachotana akili tu, kutokushiriki sex mkuu hupungukiwi chochote..
Yaah

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
🤠🤠🤠🤠 Wanawake wengi wana vifurushi ila hawajui.

Mie nina uhakika pale nilipo jiunga kifushi, Kwa macho unaingia kingi yule mrimbwende ni msafi na hata ndani msafi msomi. Nilipo jua nilifikiria nimuambie ila nikaona hapa nitaambiwa mie ndio nimempa yazuke mengine, nikapiga kimya.. Aendelee kuwaungisha bundle wengine.. Ila vijana sasa hivi hawana hofu na nina hisi kama magonjwa yame expire vile maana ukipita maeneo flani hali ni mbaya kweli kweli
Ungemueleza ukweli Mkuu

Madhara ya kukaa na ugonjwa wa Gono na Kaswende ni kuja kumwambukiza mtoto ikiwa Mama ni mjamzito na kupelekea watoto Kuzaliwa na disorders za upofu n.k
 
Nilitamani sana kumueleza, ila niliwaza mengi sana.

Natumai atakuwa aligunduaga, maana yupo mzima wa afya. Mbaya sana na watoto wengi huzaliwa kipofu kama mama akiwa na hiyo changamoto. Ila hapa ndio utaona watu hawana tamaduni za ku monitor afya zao
 
Post M-alone raraa reree

Wali na kitu cha asali mzee 🤠🤠🤠
IMG_20220917_192147.jpg
 
Back
Top Bottom