Nilisafiri kikazi, nimekaa karibia miezi sita bila kufumania nyavu, kulikuwa na mwadamu mmoja kisu kweli kweli. Siku ya mwisho nikasema acha nijaribu pindua a meza ili hata akinitoa nishai sipo nitakuwa nimesepa. Ngoma night kiwanja flani nimetingisha kiberiti kikawaka. Asubuhi nimeanza safari kati kati ya safari nahisi vitu vinatoka tu, gusa kama kufuta kiaina, wapi nikasema acha nizame toilet kujiangalia hivi naona maji meupe mazito nikasema hii nini? Badae nika share na jamaa yangu tulisoma nae akanielezea nikaona tayari device connected.
Mtihani ukawa narudije nyumbani, maana mwenzangu ilikuwa ukifika anaruka mazima kucheki kama umetumika au vipi... Ilibidi niue safari kwa emergency kwanza nikapate tiba, kula sindano kula drip saba ili kuondoa uchafu wote na kusafisha damu. Ndio Nikarudi home kwa ujasiri



.. Ujue hata wewe mwenyewe mtibiwaje unaona hayaa.. Niliumia sana nikasema siku moja imekuja niabisha.. ile kitu unaoneka mbwaaa tu hata kama umeipata kwa kuepeana mikono na mtu mwenye nayo.. maana kama mikono ya mtu inajosha na yupo nayo mkashikana unaweza chukua kifurushi kiroho safi
MALCOM LUMUMBA