reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,462
- 29,390
Kama umemuelewa jamaa wewe endelee kuenjoy marafiki wa kike waga hawadumu sana utapata mwingine ila uwe makini na jamaa huyo haeleweki ukiwa na rafiki mwingine jamaa lazima apite Nate be carefully [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu wimbo, niliwah snap nao, nkatuma status tsup, watu walifurika kunihoji woiiiiiiih.Uke wenzaa kawaachia wanaoweza
Me na mtoto wa mtu sio shida zetu
Penzi kiapo tushajichongea jeneza
Ai papii vitamu tamu chombeza
Penzi liwashe kabisa likoleee [emoji91]
Ukipasua moyo wangu uko wewee [emoji9]
Likamate misumari ugongeleee [emoji419] [emoji3590]
Si unajua navyokupenda weee [emoji847]
Dj aiiiiiiiii
[emoji23][emoji23] Lenie View attachment 2359309
Nimtajeee naniiiii??Hebu taja basi Coca
Tanteeeeeeeeh, Eng N.Waooo great [emoji4][emoji4][emoji4]
Kumekuchaaaaaa!!!! U luku so gudi.
Umri huu na totozi wapi na wapi 🤪Ww mzee unanigandisha nasubir vocha au upo umezungukwa na watoto wazur
Wewe naye ukipotea umepotea kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu wimbo, niliwah snap nao, nkatuma status tsup, watu walifurika kunihoji woiiiiiiih.
Mtoto wa mtu anapendwaaaa.
Umepata wa kukupendaa,?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dedication[emoji91]View attachment 2359452
Hako kaemoji hako[emoji23]Umri huu na totozi wapi na wapi [emoji2957]
Niwie radhi Bwana Mdogo, nitumie namba yako nikutumie vocha ya 5k.
Shangazi mic u. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nipo jamni mzima wew
Wiki chache nilikuwa hapo kwa majirani zetu[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783] Wanawake wengi wana vifurushi ila hawajui.
Mie nina uhakika pale nilipo jiunga kifushi, Kwa macho unaingia kingi yule mrimbwende ni msafi na hata ndani msafi msomi. Nilipo jua nilifikiria nimuambie ila nikaona hapa nitaambiwa mie ndio nimempa yazuke mengine, nikapiga kimya.. Aendelee kuwaungisha bundle wengine.. Ila vijana sasa hivi hawana hofu na nina hisi kama magonjwa yame expire vile maana ukipita maeneo flani hali ni mbaya kweli kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una mrubuni mdada wa kizunguu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Its w.end[emoji4]View attachment 2359789
Jamani kaka mzuriAbee [emoji23][emoji23]
Kaka mzuri anakusalimia
Leo nimeongea naee
Leteni tu ile timu yenuAu siyo BOMU mochwari
Hivi mchumba sina kudai ehYanga tamuuu[emoji4]