raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,505
- 35,688
Huo mchanganyo ulijifunzia wapi 😀🤠🤠🤠Na asali mtamu kishenzi
Huo mchanganyo ulijifunzia wapi 😀🤠🤠🤠Na asali mtamu kishenzi
🤠🤠🤠🤠Hospital local huo ndio utaratibu sasa,.. Ungeenda chukua yoyote tuDokta aliniambia njoo na mwenzako nikawaza nimelete yupi sasa niende kimboka nikamlete
Mzee ugumu wa maisha unatunza mengi, watu tushakula ugari na chumvi mawe, ila wa kishua hapa watashangaaa.. Hapo una nguna chumvi na maji na unashibaa 🤠ðŸ¤Huo mchanganyo ulijifunzia wapi 😀
Nilisafiri kikazi, nimekaa karibia miezi sita bila kufumania nyavu, kulikuwa na mwadamu mmoja kisu kweli kweli. Siku ya mwisho nikasema acha nijaribu pindua a meza ili hata akinitoa nishai sipo nitakuwa nimesepa. Ngoma night kiwanja flani nimetingisha kiberiti kikawaka. Asubuhi nimeanza safari kati kati ya safari nahisi vitu vinatoka tu, gusa kama kufuta kiaina, wapi nikasema acha nizame toilet kujiangalia hivi naona maji meupe mazito nikasema hii nini? Badae nika share na jamaa yangu tulisoma nae akanielezea nikaona tayari device connected.
Mtihani ukawa narudije nyumbani, maana mwenzangu ilikuwa ukifika anaruka mazima kucheki kama umetumika au vipi... Ilibidi niue safari kwa emergency kwanza nikapate tiba, kula sindano kula drip saba ili kuondoa uchafu wote na kusafisha damu. Ndio Nikarudi home kwa ujasiri.. Ujue hata wewe mwenyewe mtibiwaje unaona hayaa.. Niliumia sana nikasema siku moja imekuja niabisha.. ile kitu unaoneka mbwaaa tu hata kama umeipata kwa kuepeana mikono na mtu mwenye nayo.. maana kama mikono ya mtu inajosha na yupo nayo mkashikana unaweza chukua kifurushi kiroho safi
MALCOM LUMUMBA
pole Sana,Baki njia kuuMnapiga bomu mochwari mnajisifu mmeuaYanga tamuuu![]()

Hatari mkuuMayele anatetemesha nchi
Bahati mbaya ni kama ajari tu, ingawa umakini unazidi sana. Sasa hivi hata kumpa mtu mkono kizembe hapa, ukishikana na mtu mwenye mikono yenye jasho na akawa anao na wewe ukawa na majasho mkononi unapata ingawa asilimia ndogo
Kama tulivyompiga simba tu😊Mnapiga bomu mochwari mnajisifu mmeua![]()
🤠🤠🤠Kwenye ngao ya hisani pia tulipiga bomu mochwari au sioMnapiga bomu mochwari mnajisifu mmeua![]()
toa dislikeAshukuruwe Mungu sabato imeenda vyema sana vp kwako





Mkuu emoj itakukaba
Itoe bwana
Au siyo BOMU mochwariWananchiiiiView attachment 2360003
Umeniita vibayahaha