Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,790
Poa ujambo hunniehaha , mambo
Poa ujambo hunniehaha , mambo
Hauna shoo mbovu. 🤣🤣🤣Nilisafiri kikazi, nimekaa karibia miezi sita bila kufumania nyavu, kulikuwa na mwadamu mmoja kisu kweli kweli. Siku ya mwisho nikasema acha nijaribu pindua a meza ili hata akinitoa nishai sipo nitakuwa nimesepa. Ngoma night kiwanja flani nimetingisha kiberiti kikawaka. Asubuhi nimeanza safari kati kati ya safari nahisi vitu vinatoka tu, gusa kama kufuta kiaina, wapi nikasema acha nizame toilet kujiangalia hivi naona maji meupe mazito nikasema hii nini? Badae nika share na jamaa yangu tulisoma nae akanielezea nikaona tayari device connected.
Mtihani ukawa narudije nyumbani, maana mwenzangu ilikuwa ukifika anaruka mazima kucheki kama umetumika au vipi... Ilibidi niue safari kwa emergency kwanza nikapate tiba, kula sindano kula drip saba ili kuondoa uchafu wote na kusafisha damu. Ndio Nikarudi home kwa ujasiri 🤠🤠🤠.. Ujue hata wewe mwenyewe mtibiwaje unaona hayaa.. Niliumia sana nikasema siku moja imekuja niabisha.. ile kitu unaoneka mbwaaa tu hata kama umeipata kwa kuepeana mikono na mtu mwenye nayo.. maana kama mikono ya mtu inajosha na yupo nayo mkashikana unaweza chukua kifurushi kiroho safi
MALCOM LUMUMBA
Boss nene boss tajir Kanda ya Ziwa tajir mwenye mwenye CIP GOLD PROCESSING PLANTHaha!!
Kwema mkuu
Uliweza kutembea Kwan ulivyohis hiyo haliUna hatari, upate hilo alafu ukatibiwe na hizi local hospital sindano zake nasikia zinauma hizo unaweza galagala na kujinyea hapo hapo
nipo poa sweetie vipi wewePoa ujambo hunnie
Unatembea, uzuri nilikuwa na bajaji shwaa shwaa.. Ila bila hivyo hata ukitembea una aibika maana unaweza fatwa na nzi 🤠🤠Uliweza kutembea Kwan ulivyohis hiyo hali
Kweli kabisa huyu ananizingua tuu hapa hamna jingine. Ila nyie mtakuwa mmetoka out pamoja. Basi tuwekeeni picha mnachokulamzabzab siunajua lakini National Anthem anaongea kinyume nyume??
Hyo ilikuwa cha mtoto mdogo wangu natoka zangu kwa mujibu 836KJ Nina ugwadu wa kufa mtu acha tu mkuu dokta akasema huyu haitaji sindano ni kulazwa Kwanza ilikuwa ni hatari Kaka acha tuUnatembea, uzuri nilikuwa na bajaji shwaa shwaa.. Ila bila hivyo hata ukitembea una aibika maana unaweza fatwa na nzi![]()
Ashukuruwe Mungu sabato imeenda vyema sana vp kwakonipo poa sweetie vipi wewe
sabato iliendaje
Tatizo la ile unaonekana ni malaya tu, kwaiyo unasimangwa hospital. Kumbe unaweza jikuta bahati mbaya tu 🤠🤠🤠..Hyo ilikuwa cha mtoto mdogo wangu natoka zangu kwa mujibu 836KJ Nina ugwadu wa kufa mtu acha tu mkuu dokta akasema huyu haitaji sindano ni kulazwa Kwanza ilikuwa ni hatari Kaka acha tu
Mkuu emoj itakukabaThank you tribal. 😂
Bruh umejitahidi leo mchele unaonekana ni wali mweupe sio pilau 😃
Mambo ya wkend blazaaKidogo nireport police umepotea..
Leo mbona unakula sana 😔😔
GugoAah vitu vya washua hivyo
Ndio vinini? Vinaliwa na chai au
🤠🤠🤠 Na asali mtamu kishenziBruh umejitahidi leo mchele unaonekana ni wali mweupe sio pilau 😃
salama tu nduguAshukuruwe Mungu sabato imeenda vyema sana vp kwako
Mayele anatetemesha nchiYanga tamuuu😊