National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,202
Leo umenipatia, 😋😋
mzabzab 🙂🙂Hii ya kwangu kabisa hii
Nipo jamni mzima wewsophy27 popote ulipo naomba uje uselfike.
Lovelovie naomba uje unibless na liselfie la ukweeehh!
Lenie mamaa wa miguu ya bia mwenye marashi ya karufuu fanya kudondosha hata kibeby face chako nikuone.
mawardat it's been a long time ebu fanya namna.
cocastic miss songea hebu tupia kijora tukuone.
Lizzy madame asiye na kitambi mpole na busara nyingi tukuone basi mkono turidhike.
Kelsea mtoto chocolate 🍫 colour homa ya sekfika pita basi hata kama upepo.
reymage mamaa wa mujini mwenye tashtiti zake shusha vitu hivyoo tuinjoy
Nuzulati mfanyabiashara maarufu wa town mama wa laki si pesa shusha hilo selfie 🤳
Heaven Sent hello 👋
Alayna beautiful dimpoz maarabu ya Pemba
Tinsley cha upole wetu selfie yako ni muhimu
ndia treni kwa mbele🤣🤣🤣
Aunt tumekumissNipo jamni mzima wew
Aunt tumekumissNipo jamni mzima wew
tupo kanisani leo
Safi kabisa, 😁😁 kumbe leo sabatotupo kanisani leo
baadae ndo atakuja hapa lol
ndio leo ni jumamosiSafi kabisa, 😁😁 kumbe leo sabato
Asante MkuuAs you wish
Nimewamiss pia vuta subra midayetu napita nakedAunt tumekumiss
Uselfike tuone lips za dhahabu
🙂🙂 Nilikuwa natazama tu wimbo, au kuna mengine na kama kuna mengine mawazo yako tuu.. Maana hata tukipanda kwenye mabasi hizo song zinapigwaa.. Ila chunga moyo wako
Kawaida tuNilikuwa natazama tu wimbo, au kuna mengine na kama kuna mengine mawazo yako tuu.. Maana hata tukipanda kwenye mabasi hizo song zinapigwaa.. Ila chunga moyo wako
