Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
iIe vn nisingeilewa aki ningehitaji kuzabuliwa mabao 😂🤣🤣🤣🤣 usipoelewa niite nikufafanulie
iIe vn nisingeilewa aki ningehitaji kuzabuliwa mabao 😂🤣🤣🤣🤣 usipoelewa niite nikufafanulie
Vale wetu....Usiondoke kwanza
Hebu selfika
Sio mbuni au Tausi 🤠🤠🤠Good tafuta na njiwa
Lugha gani hyohahaha
niaje
Huyo huyo, ngoja usiku nimpigieHeee
Makubwa haya
Wige huyuhuyu?
🙊🏃🏃🏃Gafla tu macho yametua hapo kwenye zipu
Weeeee linakufata kutaka nini kwako sasa shost akeee msaganeeeee ama nene shost akee???
Hakuna jipyaaaaa humu ukiukanyaga unauvagaaaa kivyakkkooo shost anguu!!!
Au ukute mwingine anataka kukujua tyu kuthibitisha anayoyasikia labdaaaa
Jf msitu mneneeee!!! Ni kua makuni mnoooo!!






na nilimfurahisha mbonaaaaaa. Watu wamevurugwa na lifeee, wanataka kupumzikiaa kwangu, wananijua wananisikia????
Jiwa ndo mzuri ata ukisoma biblia ndo katumika sanaSio mbuni au Tausi![]()
👏👏👏Nature iko hvyoand we can't change
Then kwenye machaguoa hakuna mkamilifu my dear,angalia Kati ya zileamekidhi ngapi?we unahitaji Nini ?maana ukitaka mwenye vyote hayupo
Na kukaa kumsubiri kwa Sasa ni wachache wanapatikana kwa staili hyo,waweza ukawa upo jf kumbe ndo wako Mungu amekupangia umpate humu hvyoo,so popote mpenzi wa kweli anapatikana muhimu bi masharti na vigezo ,ukiona hakidhi we mteme tuuu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na mtoto wa watu nimekuongeleshea kwa madeko 🤣🤣🤣iIe vn nisingeilewa aki ningehitaji kuzabuliwa mabao 😂
Hivi ndo kasuku huyo?Nimetulia hapa tunakula neno mdogo mdogo.. Anabadilisha mapozi tu.. Maisha ndio haya haya.. Viumbe wanatupa furaha safi isiyo na stressView attachment 2358546
Nikuwee M hapo 🤣🤣🤣🤣 amekidhi? Ghaiiiii
Mungu anakuonaVale wetu....
Mbona selfie zangu ziko kibaoo
Karibu kila siku naselfika hapa
Wewe ndo tubariki na ka selfie kazuuuri
Njiwa mwakani nitafuga kuna mazingira flani ambayo hadi niwe nimetengeza ndio nita enjoy, maana kuna kipindi nilifunga njiwa walifika karibia mia 300, sungura wa kutosha 🤠🤠Jiwa ndo mzuri ata ukisoma biblia ndo katumika sana
Situliii 🤣🤣Hahaaa
Jirani tuliaaa
Hapana ndegeHivi ndo kasuku huyo?
sungura pia wapo vizuriSio mbuni au Tausi 🤠🤠🤠
Kuna mbwa wakali huko uendako. Bora urudi
M?Nikuwee M hapo 🤣🤣🤣🤣 amekidhi? Ghaiiiii