AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,414
- 6,284
Ulikula wote[emoji1][emoji1]Njiwa mwakani nitafuga kuna mazingira flani ambayo hadi niwe nimetengeza ndio nita enjoy, maana kuna kipindi nilifunga njiwa walifika karibia mia 300, sungura wa kutosha [emoji1783][emoji1783]