Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwanzo 3:16
Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.

Imeandikwa wapi

Mwanzo 3:17
Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;

Mwanzo 3:18
michongoma na miiba itakuzalia, nawe utakula mboga za kondeni;

Mwanzo 3:19
kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakapoirudia ardhi, ambayo katika hiyo ulitwaliwa; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.
 
Mko deep
 
View attachment 2357835
Siku moja moja sio mbaya unakutana na Wazee wenzako mnakula stori kama hivi kukumbukia Enzi.

Anza kujizoesha hili mapema ili ukifika umri wa Uzee kama wangu usipate shida ya upweke wakati huo Bibi anakuwa amekwenda kusalimia Wajukuu zake DSM

Hello Thursday
Gafla tu macho yametua hapo kwenye zipu
 
And I know we're not supposed to talk
But I'm getting ahead of myself
I get scared when we're not
'Cause I'm scared you're with somebody else
So I guess that it's gone
And I just keep lying to myself
I can't believe it

I, I miss you, yeah I miss you
I miss you, yeah I miss you, oh I do
I miss you, yeah I miss you
Though I'm tryin' not to right now
I mis you more.....
 
Back
Top Bottom